Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Nilikuwa Arusha hivi karibuni nikastaajabu ratiba ya mgao wa umeme huko. Kwa muda wa wiki mbili umeme unakatwa saa 1 asubuhi na kuwashwa saa 6 usiku.
Naambiwa sasahivi hali ndo imezidi kuwa mbaya zaidi, hivyo basi watanzania lazima tukubali sasa kufanya maamuzi magumu lakini makini kwa ajili ya mustakabali wetu. Vinginevyo hawa wakubwa wataendelea kujifungia kwenye maofisi yenye vipupwew na kula mishahara pasipo kutekeleza wajibu wao kwa wananchi na taifa kwa ujumla.