Mchezo Mchafu: Umeme maeneo Sugu Mwanza Umewaka, Baada ya Kuombwa Hoja ya Daharura ya Wenje

GHOST RYDER

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
1,025
475
Naanza kwa kukuomba Mkuu INVISIBLE kama inawezekana Thread hii ibaki nje ya ule mjadala tumulike vema macho hapa wadau.

Kama walivyofanya katika Bajeti na kama kawaida yao kutuhadaa kwa Umeme wa muda mfupi na Baadaye kuukata Jumla. Maeneo korofi huko Mwanza ikiwemo Ilemela vilipo vituo vya matangazo ya Radio na TV vya Sahara (Star TV na ndugu zake) Umeme umewaka huko muda si mrefu na hii ni baada ya jana wananchi kupiga kelele zilizopitiliza kupitia Radio na TV.

Meneja wa TANESCO Mwanza alidai kuwa mahitaji yao ni Mega Watt 42 na kuwa sasa wanapata MegaWATT 4 tu ambazo kazigawa katika mahospitali, viwanda na mashine za kusukuma maji. kwa hiyo hana maarifa na hekima zaidi ya hapo. Akizungumza kama nilivyomsikia jana kupitia KISS FM jioni.

Sasa Muda huu naarifiwa kuwa Umeme umewaka katika ujasiriamali uliopo huko Ilemela na maeneo mengine sugu Mwanza, huu ni Mchezo mchafu hasa baada ya kusikia kuwa Jioni Ngeleja anatakiwa kutoa tamko kuhusu hali hii.

My TAKE:

• Ni kupoza makali ya Hoja ya Wenje kwa kuwahadaa wakazi wa Mwanza
• Ni kuonyesha kuwa serikali ni sikivu inajali
• Au ndio tuchukue maamuzi magumu maana hawatendi mpaka washinikizwe
ADIOS

nadhani hawa jamaa huu ni mchezo mchafu wanatuchezea , mkuu hapa Geita tulikuwa cku nne hatujaona umeme lkn leo saa 7;45 mchana ndo umerudi cjui ukikatika utarudi tena lini?,huenda umerudishwa makusudi kutafutapopurarity wakati wamjadala wa jioni ili serikari ionekane sikivu kumbe usanii mtupu.

Hata Huku Sinza siku hiz Umeme hakuna mchana kutwa!.. Nina wasiwasi kama kuna relation kati ya mgao na majimbo ya CDM!!!

Haya ndio yanayotuumiza kichwa kwa sasa wataka mabadiliko...Imewezekanaje leo.

Ahsante kwa taarifa kama Geita pia mambo safi

Watanganyika tunalala sana ndo maana tunachezewa kamchezo,mie naona tukizikana nafsi zetu tukaanza kunji yawezekana hata huu mgao tukabaki kuusikia tu na si kuuona live vingnevyo people exploit our docility

Umeiona thread inazungumza kuhusu maamuzi magumu au tuvue gamba, weka mawazo yako pale Mkuu. Tumechoka kulalamika huu ni wakati wa kuchukua hatua

Hata Huku Sinza siku hiz Umeme hakuna mchana kutwa!.. Nina wasiwasi kama kuna relation kati ya mgao na majimbo ya CDM!!!

Nachelea kucomment naweza nikashitakiwa kwa uchochezi bora ninyamaze maana mimi nipo jimbo la mbunge wa chama tawala hali ni mbya ukikatika saa kumi na mbili jioni unarudi saa sita usiku na kukatika asubuhi alfajiri ngoma ni mpaka saa moja magharib.

Mkuu mimi siamini kwamba kuna uhusiano lakini hapa ni kuonyesha kuwa serikali inawayawaya tu haijui ifanye nini!! Hali ni ngumu jamani

Mkuu Kimbunga...Heshima yako kwanza

Mambo si mazuri, viongozi wapunguze uhuni kama wanataka Nchi iatawalike Vizuri na wawe wa kweli wamefeli katika baadhi ya mambo na si kuzingizia mara mvua mara tungefanyaje sasa. hapo nani awajibie

Nachelea kucomment naweza nikashitakiwa kwa uchochezi bora ninyamaze maana mimi nipo jimbo la mbunge wa chama tawala hali ni mbya ukikatika saa kumi na mbili jioni unarudi saa sita usiku na kukatika asubuhi alfajiri ngoma ni mpaka saa moja magharib.

Ami aaww

Haiwezekani hukosi la kusema, Huu ni mchezo mchafu

Ngeleja na mwenzake wanawachezea wabunge akili.Wanataka hiyo hoja ya dharura ikose nguvu jioni hii halafu wakimuachia tu tatizo linaendelea kama kawa.

watanzania wakati wa kukaa kwenye computer zetu na kubofya bofya umekisha hatua za makusudi zinatakiwa kuchukuliwa na wananchi kudai nchi yao.

1. Kila bajeti inayosomwa na mawaziri husika ina mambo ya kifisadi ndani yaki mwisho wa siku inapita.
2. Hakuna kiongozi yeyote ndani ya ccm ambaye ajausishwa na kashifa ambazo tunazisikia hapa tanzani.
3. Mashirika yetu yote wamekula na nchi wanagawana wao na familia zao.

Yanatakiwa maandamano ya kuidai nchi yetu toka mikononi mwao sasa.

Pia na katika thread inayohusu watanzania umefika wakati wa kuchukua maamuzi magumu uweke maono yako pia. ITS TIME

GR nakubaliana na wewe kwamba huu ni mchezo mchafu.Tukianzia kwenye mafuta mpaka umeme.Kama mtakumbuka baada ya bajeti ya nishati kukwamishwa,tulipata umeme bila mgawo.Ilipopita tu,kesho yake mgao ukaanza.Nina wasiwasi bunge likimaliza kikao cha bajeti hali itakua mbaya zaidi ya hali iliyotokea hapo nyuma.Naomba tuungane,tuamke tuchukue hatua ya kuwaondoa hawa wanaocheza huu mchezo mchafu kabla mambo hayajazidi kuharibika.

Nachelea kucomment naweza nikashitakiwa kwa uchochezi bora ninyamaze maana mimi nipo jimbo la mbunge wa chama tawala hali ni mbya ukikatika saa kumi na mbili jioni unarudi saa sita usiku na kukatika asubuhi alfajiri ngoma ni mpaka saa moja magharib.

Haha,umeusemea moyo wangu aisee,na umesababisha ni comment leo thanks

Naanza kwa kukuomba Mkuu INVISIBLE kama inawezekana Thread hii ibaki nje ya ule mjadala tumulike vema macho hapa wadau.

Kama walivyofanya katika Bajeti na kama kawaida yao kutuhadaa kwa Umeme wa muda mfupi na Baadaye kuukata Jumla. Maeneo korofi huko Mwanza ikiwemo Ilemela vilipo vituo vya matangazo ya Radio na TV vya Sahara (Star TV na ndugu zake) Umeme umewaka huko muda si mrefu na hii ni baada ya jana wananchi kupiga kelele zilizopitiliza kupitia Radio na TV.

Meneja wa TANESCO Mwanza alidai kuwa mahitaji yao ni Mega Watt 42 na kuwa sasa wanapata MegaWATT 4 tu ambazo kazigawa katika mahospitali, viwanda na mashine za kusukuma maji. kwa hiyo hana maarifa na hekima zaidi ya hapo. Akizungumza kama nilivyomsikia jana kupitia KISS FM jioni.

Sasa Muda huu naarifiwa kuwa Umeme umewaka katika ujasiriamali uliopo huko Ilemela na maeneo mengine sugu Mwanza, huu ni Mchezo mchafu hasa baada ya kusikia kuwa Jioni Ngeleja anatakiwa kutoa tamko kuhusu hali hii.

My TAKE:

Ni kupoza makali ya Hoja ya Wenje kwa kuwahadaa wakazi wa Mwanza

Ni kuonyesha kuwa serikali ni sikivu inajali

Au ndio tuchukue maamuzi magumu maana hawatendi mpaka washinikizwe

ADIOS

Acha uzushi, umeme haujarud bado huku

Mbona cjasikia wazir akitoa huo mwongozo chama hiki kimechoka jaman ccm wanasubili kuzikwa 2015

umeme umerudi watu wanashangilia kama wameona malaika! Kwa kwel ccm wanatutesa,huu ni mchezo mchafu

Back
Top Bottom