Mchezaji mpira wa klabu ya OGC Nice anusurika kifo kwa kutaka kujirusha kutoka kwenye daraja baada ya kuachwa na Mpenzi wake

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,943
25,284
20230929_204714.jpg

Alexis_Beka_Beka_2022.jpg

Klabu ya OGC nice iliingia katika taharuki na kusitisha shughuli zake zote baada ya kiungo mkabaji Alexis Beka Beka kutishia kujiua kwa kujitupa kutoka katika daraja refu kwa madai ya kuachwa na mpenzi wake. Polisi pamoja na jeshi la zimamoto lilifanikiwa kumuokoa kiungo huyo na hivi sasa amewekwa chini ya uangalizi akiwa pamoja na familia yake.
 
View attachment 2766609
View attachment 2766610

Mpenzi wake Jinsia gani?
 
Beka kawa kama Seleeee
 
Wanaofanya kweli huwa hawatangazi. Mtakuta ujumbe tu kwenye karatasi mhusika atakuwa tayari kabadilisha jina na kuwa marehemu xxx.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom