Mchango wako wa mawazo ni muhimu hapa.

The Son

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
459
58
Nikiweka line ya Zantel kwenye simu 'updated time' inatofautiana na ile ya mitandao mingine kwa dakika 6.Hii inaleta tabu kwa wale ambao kwa kiasi kikubwa tunategemea time ya kwenye simu.Tatizo ni nini? Haliwezi kupatiwa ufumbuzi?
 
Back
Top Bottom