Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,834
- 114,343
Mkuu JGG, asante. Kuna msemo unaitwa usikatae wito, kataa neno!. Akili timuma huwa inapimwa na contents!. Kwa mfano kwa upande wangu, hii contents ya hii press conference ya leo, inaonyesha kabisa mzungumzaji ni "insane", wenye akili zao timamu hili waliisha lijua ndio maana hadi sasa jamaa yuko huru!.Akili timamu wanajua vp japo umri? unaweza kukadiria?
Thanks.
Pasco