Mchambuzi: Hakuna mchezaji wa Simba anayeweza kucheza Al Ahly

"Hakuna mchezaji wa klabu ya Simba anayeweza kupata nafasi kwenye kikosi cha klabu ya Al Ahly (ya Misri) hakuna hata mmoja" Abdulghafal Ally,
Mchambuzi wa soka TBC FM

NB: Kwa pale uananchini Max, Yao, Bacca wanaweza kupata namba za kudumu pale Al Ahly.

Makolo mnabisha hapa?
Je kuna mchezaji wa Ihefu atapata namba Yanga? Kufungwa kuna mengi ndani yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom