Mchakato wa kisheria wa kubadili jina lako

Its possible to change your names from your birth certificates and other certificates but you shoukd have good reasons as to that which have no elements of any criminal actions such as fogery,false pretence and impersonification.

The process is easy but often complicated visit your local court for being sworn an affidavit and other legal processes
All the best
 
Habarini wakuu,

Mimi ni kijana mtanzania.Nimesoma shule ya msingi mpaka elimu ya juu chuo kikuu.Wakati nipo chuo mwaka wa 1 nilienda mahakamani nikabadili jina na cheti cha mahakama chenye muhuri halisi ninacho.

Nilijaribu pale chuo wakanibmbia wao walisitisha hilo suala nisubiri nimalize na hilo jina mpya nitatumia kazini na sehemu zingine.Sasa ndugu zangu nianzie wapi ili kubadili majina ya vyeti vyangu hasa kuanzia kidato cha 4?

Msaada tafadhali.
 
cheti cha necta kinatolewa kimoja tuuuu.hivo haitawezekana ndugu.
 
kwann ubadilishe jina? Is just herufi tu,wewe unabaki kua wewe na mind ndio itadetermine ur archievement
 
Ukimaliza shule na kupewa cheti, hilo ndilo jina lako linotambulika kwenye cheti husika. Huwezi kubadili au kufuta na kuandikisha upya.
 
Kuna kitu inatwa deedpol utaipota mwanashelia wa silikali Kisha kwa msajili wa vyeti inaghalimu 30000Tsh. Hiyo itakuwa na majina yako ya Zaman na Mapya, ikionesha kuwa aliye kuwa akitambulika kama X Sasa na kuendelea anatambulika kama Y. Ni check 0787215000 nikueleze zaid
 
Samahani mi naomba kuuliza ,mim ktk document zangu zote natumia tumia jina lisilokuwa language SAS nilitaka kulibadili ila mim taarifa zangu zote in za mkoa waMARA sasa Niko dar itawezekana kubadili nikiwa uku dar?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu inatwa deedpol utaipota mwanashelia wa silikali Kisha kwa msajili wa vyeti inaghalimu 30000Tsh. Hiyo itakuwa na majina yako ya Zaman na Mapya, ikionesha kuwa aliye kuwa akitambulika kama X Sasa na kuendelea anatambulika kama Y. Ni check 0787215000 nikueleze zaid
Kama we ni mwanasheria basi kazi ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa wataka uwe na jina gani? la kwako asili ama upate jipya?
na je hilo unalolitumia una cheti chake??
kama huna cheti cha jina unalolitumia sasa waweza pata cheti cha kuzaliwa kirahisi tu,na ukaendelea kutambuliwa kwa jina hilo,lakini kama wataka kujulikana kwa majina yote basi itabidi uende mahakamani ukaape na kupata kitu kinaitwa DEED POOL ili kukutambua kuwa wa zamani ndo wewe.
sijui kama umenipata hapo
ni "deed poll" sio deed pool

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
pole sana mkuu,
ila kubadilsha jina kisa dini mimi kwangu naona haina faida! kwani kama ulkua unaitwa Mohamed John na sasa unaitwa Mohamed Hassan inakuongezea nini? Jina ni jna tu hata waweza itwa Dunia, Meza, Ngengemkeni, Bahari n.k na likawa jina lako!
Ushauri - Rudia jina lako la awali halafu acha udini
Siyo rahisi kuingia kichwani mwake.
Kila binadamu hufanya yale yanayofurahisha mtima wake
 
Back
Top Bottom