Mchaga aliyefumania.......??!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Mchaga mmoja alikuta mkewe anatafunwa na jamaa,baada yakukuta jamaa ana duu akaenda kutafuta panga aliporudi akakuta jamaa amesepa akawa ametahayuri akawa anakimbia hovyohovyo mara akakutana na mshikaji wake mambo yakawa hivi"Haisee Kimaro hujakutana na mtu ana mblo mbichi mbichi haisee??nimekuta jamaa anamkewangu sinikaenda kuchukua panga nimekuta kaondoka!!nisasahivi babangu!hata dakika haijapita lazima mblo itakuwa ni mbichimbichi"!
 
Is this supposed to be funny?

Yes, we unaonaje? Mara hii umekuwa mkosa hoja? Au si wewe uliyetoa mada ya mkosa hoja? Tafadhali rudi ukasome zile sifa za mkosa hoja ulizoandika kwa vidole vyako mwenyewe ukiwa na akili timamu (kama unazo) na moyo mweupe (japo na-doubt)
 
ungetuambia na jibu la huyu jamaa alilolitoa hapo ningweza kucheka
 
Aikambe Meku mb*lo mbichi inafananaje bwashee,au inakuwa na muonekano wa kulowekwa!
 
Yes, we unaonaje? Mara hii umekuwa mkosa hoja? Au si wewe uliyetoa mada ya mkosa hoja? Tafadhali rudi ukasome zile sifa za mkosa hoja ulizoandika kwa vidole vyako mwenyewe ukiwa na akili timamu (kama unazo) na moyo mweupe (japo na-doubt)

Hahahaha. . . watu wengine mnachekesha kweli.
Kwahiyo mtu akiuliza swali kakosa hoja?Kweli tunatofautiana.
 
Hahahaha. . . watu wengine mnachekesha kweli.
Kwahiyo mtu akiuliza swali kakosa hoja?Kweli tunatofautiana.

Sio kila sentensi inayoishia na question mark ni swali. Hiyo ya kwako ni criticism na wala sio swali. Nachojaribu kukueleza hapa kisitafsirike kuwa mimi nina hisia tofauti juu ya alichokiandika huyu dogo, lkn nakukumbusha kuwa wote tuna hulka tusizoweza kuzificha na ndio maana umekuwa wa kwanza kusahau uliandika nini kule. Hebu kwanza rudi ukasome badala ya kubisha. Sikudai lkn, am just trying to help you to understand how pathetic you are
 
Unaelewa maana ya critisism?
Au ulimaanisha sarcasm. . . . . . ?
 
wala sijacheka,nirudishie hela yangu ya kiingilio niliitoa kuingia kny hii thread.
 
ebu malizia hiyo story ndo tutacheka vizuri'yule aliyekutana naye hakujibu?na mke wake ilikuwaje?
 
shida ya hiyo joke inaenda na lafudhi ya kabila husika.... Ikiwa kwa maandishi haichekeshi hata kidogo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom