mcAfee wametoa premium antvirus ya miezi 6 bure. chukua yako leo

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,752
39,894
kwa wale wanaopenda antvirus nyepesi isioeka pc slow hii ni mojawapo na sasa hivi kuna offer wanatoa miezi 6 kwa watu wao wa fb na hii ni direct link wakuone kama na wewe ni mmoja wao

Virus, Spam, Spyware Protection Software for Your PC | McAfee

click link hio fata maelekezo watataka utengeneze acount then fanya mpaka mwisho utadownload

muhimu kujua

  • setup yake ni online installer so itatumia internet wakati wa kuinstall
  • hii ni full security hadi kwenye internet itakulinda ina mtindo ukiingia website mbaya kama za torrent kukuzuia na kukuuliza kama unataka kwenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom