Dah! Basi kazi ipo! Yani ushafikia uko!ndio maana biblia yako inasema LAZARO walimtupa
BAHARINI...atuwezi kukbishia
Yote kheri ndugu!hakika sikutaka kufika ila sikuona umuhimu wa kuanza kumdhihaki marehemu kwa yaliofanywa na ndugu zake....
hakika hata mkiwa kumi bado tutamkumbuka...natumaini siku ikifika naso tutakuulizia....
Her ...............may The almighty God keep him in peace
may The almighty God keep him in peace
Habari zilizotufikia hiv punde zinasema
yule mc mashuhuri shupavu dada yetu MC CHICHI
Amefariki dunia muda s mrefu uliopita...Mwenyezi mungu amrehemu sana
dada yangu sikuwah kumjua vizuri mpaka nilipomkuta akkiichambua vizuri
KEKI ikiwa na mafiga matatu..loh R.I.P MC CHICHI BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE TULIKUPENDA MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI DADA YANGU..
SITOKUSAHAU MAISHAN MWANGU...NA WOTE ULIOWASHREHESHA....MWENYE TAARIFA ZAIDI WAPI NA LINI MAZISHI NAOMBA MZIDI KUTUPA TAARIFA KUPITIA HAPA
Mungu awape roho ya uvumilivu ndugu jamaa na marafiki
Mungu apishie mbaliDu hii miezi ya May, June na July tutalia sana, R.I.P Mc Chichi
Nimehudhuria Mazishi makaburi ya Kinondoni, kitu ambacho nimekishudia ni kitendo cha Jenaza lake kubebwa na MC wa kike peke yao. Hii mara ya kwanza kwa wanawake kubeba jeneza!.
Halafu wakavalia sare maalum iliyomachi na rangi ya nguo aliyovikwa Marehemu iliyomachi na rangi ya Jeneza lake.
Hii ni mara ya kwanza nimeona mshikamano wa ajabu kati ya ma MC.
RIP MC CHICHI.
Mbwembwe zote hizo zitamsaidia nini maiti?
Acha utotoyaani uko humu toka 2007 lakini unaongea pumba,shame on youKuna aliye mvunjia heshima yake?