Mbwembwe za Nassari....

i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
378
naona williama huko ccm hakukufai kabisa
75233_3766945691414_1209820481_33743904_180165282_n.jpg
 
namwona kada wa c c m amenuna kwenye ngazi tena ameharibu picha kama kuna mtu anaweza kumkata kichwa asionekane afanye ivyo chadema mwendo mdundo mpaka kieleweke
 
Naona jamaa hapo anahangaika kweli na mapicha-picha!!!

Cheap tokens indeed....:shocked::shocked:
 
Vema ya le mutuz @newyork imekaa kujihami, akibanwa na magamba atasema tumezoea kushika pisto melini, kwa hiyo ile ni kama nimeshika mguu wa kuku aka cha rage!
 
Nassari Baba oa sasa ili wenye mdomo wakome
sawa eeeh?mke atakutunza zaidi,ili wakati wa
uchaguzi ujao uwe unapanda jukwaani na mkeo!
ITANOGAJE???????????????????
 
Back
Top Bottom