Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

MTU anayemponda Samatta ukimwambia yeye acheze utafikiri unaangalia futuhi. Wabongo tuna tabia ya kuponda na kuwa na negative mindset. Ndo maana Mimi hata biashara ya urafiki nilishaikataa muda sana. Naona unafiki tu.

Acheze yeye kwani yeye ni mchezaji ?
 
Roho mbaya,husda,chuki na wivu ndo vijana wengi wa Tanzania tunajua.Kwanza wakati anahangaika mwenyewe hakuna hata aliyemsaidia leo kawa maarufu basi kila mtu anajidai kumkosoa huo ndo unafiki mim siupendi.

Hivi kwanini wabongo mnapoambiwa ukweli hufukuzia kulalamikia chuki, choyo sijui. mnastaajabisha kabisa. Leteni hoja za msingi.
 
Hivi kwanini wabongo mnapoambiwa ukweli hufukuzia kulalamikia chuki, choyo sijui. mnastaajabisha kabisa. Leteni hoja za msingi.
Wewe ndo unapaswa uwe na hoja za msingi. By the way Samatta alistruggle mwenyewe mpaka hapo alipofikia,wewe ulimsaidia nini? Au ndo ule umbea na kutafuta kiki za kipuuzi ili uonekane unajua kuchambua soka? Kama wewe unajua mpira kuzidi Samatta kaombe namba kikosin tukuone uwezo wako. Sio unatuletea unafiki wako hapa.
 
acha dhambi jamani...dogo kacheza genk mechi 124 ana goals 50 average nzuri kabisa na hapo mechi za mwanzo alikuwa hachezi zaidi ya 15 minutes
Samatta jana amefikisha mechi 124 katika mashindano yote tangu amejiunga na Genk Januari mwaka 2016 akitokea TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na amefunga jumla ya mabao 50.
Katika Ligi ya Ubelgiji amecheza mechi 96 na kufunga mabao 33, Kombe la Ubelgiji mechi nane mabao mawili na Europa League mechi 20 mabao 14.
ni 6th highest scorer wa genk of all time wa kwanza ana goalas 108 yeye goals 50 kwa miaka 2 tu kwa kikosi kilichopo yeye ndo highest scorer of all time akikaa miaka 10 pale atajengewa mnara huyo
huyo pepe yupo team hiyohiyo sema jana hakucheza na mwenzake ryan babel ila huyu star wa world cup alicheza ndo alikuwa uchochoro wa samatta sasa
vida.PNG
 
Sama sama Samagoal jana washabiki wakamuita! Mzee baba akaitikia nyavuni mara mbili! Samagoal cheza mpira haters watajiharishia pale utakapotupa ushindi kwenda Cameroon!
 
Ebu kula highlights za jana (Besiktas vs Genk) mtanzania huyu MBWANA ALLY SAMATTA alivyokimbiza, jana alikuwa nightmare kwa defender tena wa fainali ya kombe la dunia Vida(Croatia) na kipa wa liverpool. Kuna kitu Samatta kakiongeza kwenye gemu yake, PACE!
 
Back
Top Bottom