Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Kuufahamu mpira na kucheza nivitu viwili tafauti, Gardiola ni kocha bora lakini hakuwahi kuwa mchezaji bora na hao walikua wachezaji bora ukocha na hata uchambuzi umewashinda. Mimi simchezaji mpira, Lakini kwenye wachezaji mpira huwezi twambia ati Samatta hodari. Kwani Uhodari masihara kwamba mtu yoyote anaweza akawa tu.
Wabongo tuna mapenzi makali sana mpaka tunakua hatuoni.
Kwahiyo tunaweza sema samatta hajui Moira?
 
Siyo kukaa mkabadili hoja tu kila mda, Uanposema kama weye unaweza kucheza ni hoja haina mashiko kabisa kwenye uweleo wa football. wakosoaji wa mpira, wachambuzi wa mpira, makocha, viongozi wa vyama vya mipira, viongozi wa timu zamipira, mashabiki, wote huwa si wachezaji. Sasa mtu anmcritisize mchezaji badala kujibu kwa hoja unaleta mambo ya wewe anacheza wapi sijui nyie mlifika wapi ni hoja mbovu kabisa na hazipatikanwi pengine zaidi ya Bongo. Mana ndipo kwenye wajinga wengi.

Hamjakatzwa kumpenda mchezaji wenu, ikiwa kwa uzalendo au hata sababu nyengine mtu anazozifahamu mwenyewe, Lakini unapoelezwa uwoni wa mtu mwenige msitoe mapovu. Jibu hoja zilizotolewa.
 
Samatta atakuwa anasomaga huu uzi kabla ya kuingia ground... sio kwa fomu hii aliyonayo.
Yaani unataka kila player acheze kama Messi??, kila mtu na aina yake na mfumo wa kocha wake,.. ndio maana starz Anatembea na mipira toka kati tofauti na genk
 
Kuufahamu mpira na kucheza nivitu viwili tafauti, Gardiola ni kocha bora lakini hakuwahi kuwa mchezaji bora na hao walikua wachezaji bora ukocha na hata uchambuzi umewashinda. Mimi simchezaji mpira, Lakini kwenye wachezaji mpira huwezi twambia ati Samatta hodari. Kwani Uhodari masihara kwamba mtu yoyote anaweza akawa tu.
Wabongo tuna mapenzi makali sana mpaka tunakua hatuoni.
Dogo umeanza kuangalia mpira lini, hukuwahi kumwona Guadiola wakati anacheza mpira sanasana labda umeadithiwa au umesoma magazeti ya michezo yaliyoandikwa na waandishi uchwara Mourinho na Benitez ndio makocha bora ambao hawakucheza mpira kwa kiwango cha juu ila Guardiola alikuwa kiungo bora kabisa sasa hizo story nyingine sijui kakupa nani
 
Ariggo sachi, Sarri wote hawakucheza mpira. Na guadiola hakuwa mchezaji wakiwango cha juu kwa wakati wake, (Romario, Ronaldo, Batistuta,Redondo, Rivaldo Stochkov, Baggio, Del piero, Figo, Rui Costa, Futre, Albertini, Weah, Mathius, Baresi hao ndio walikua wachezaji waiwango cha juu kwa mda huo gardiola alipokuwa anacheza, Na kati ya hao nitajie yupi amekua kocha au kiongozi wa klabu au mchambuzi wa soka mashuhuri?
 
nenda hata google ukaangalie Guardiola alikuwa mchezaji wa aina gani si ajabu hata namba aliyokuwa anachezea huijui
 
Kuufahamu mpira na kucheza nivitu viwili tafauti, Gardiola ni kocha bora lakini hakuwahi kuwa mchezaji bora na hao walikua wachezaji bora ukocha na hata uchambuzi umewashinda. Mimi simchezaji mpira, Lakini kwenye wachezaji mpira huwezi twambia ati Samatta hodari. Kwani Uhodari masihara kwamba mtu yoyote anaweza akawa tu.
Wabongo tuna mapenzi makali sana mpaka tunakua hatuoni.
Samatta siyo mchezaji hodari ni mfungaji hodari!! Tuiweke hivyo basi . Kuna mtu alikua anaitwa Tore andre flo kama sijakosea alikipiga Chelsea au Ruud van magoli ebu angalia mpunga walio kua wana vuta kwa kazi yao ya kusukuma mipira wavuni. Siyo lazima kila mtu awe na matege kama yako ndiyo useme na yeye ana miguu. Kama mpira ni bahati basi brazil ni nchi inaongoza kwa bahati duniani
 
Siyo kukaa mkabadili hoja tu kila mda, Uanposema kama weye unaweza kucheza ni hoja haina mashiko kabisa kwenye uweleo wa football. wakosoaji wa mpira, wachambuzi wa mpira, makocha, viongozi wa vyama vya mipira, viongozi wa timu zamipira, mashabiki, wote huwa si wachezaji. Sasa mtu anmcritisize mchezaji badala kujibu kwa hoja unaleta mambo ya wewe anacheza wapi sijui nyie mlifika wapi ni hoja mbovu kabisa na hazipatikanwi pengine zaidi ya Bongo. Mana ndipo kwenye wajinga wengi.

Hamjakatzwa kumpenda mchezaji wenu, ikiwa kwa uzalendo au hata sababu nyengine mtu anazozifahamu mwenyewe, Lakini unapoelezwa uwoni wa mtu mwenige msitoe mapovu. Jibu hoja zilizotolewa.
Kazi ya mshambuliaji ni kufunga na kama samatta anafunga basi ni mchezaji mzuri.
 
Samatta siyo mchezaji hodari ni mfungaji hodari!! Tuiweke hivyo basi . Kuna mtu alikua anaitwa Tore andre flo kama sijakosea alikipiga Chelsea au Ruud van magoli ebu angalia mpunga walio kua wana vuta kwa kazi yao ya kusukuma mipira wavuni. Siyo lazima kila mtu awe na matege kama yako ndiyo useme na yeye ana miguu. Kama mpira ni bahati basi brazil ni nchi inaongoza kwa bahati duniani

Kazi ya mshambuliaji ni kufunga na kama samatta anafunga basi ni mchezaji mzuri.

Kufunga magoli mawili matatu tena ligi ya Ubelgiji anitwa hodari Bongo bana
emoji23.png

Nakukumbusha kipa bora wa dunia msimu uliopita alitokea kwenye ligi hiyo hiyo.Mshindani wa karibu zaidi wa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora EPL msimu uliopita,alitokea huko huko kabla ya kucheza uingereza....Hope umeelewa!!!
 
alitokea lakini ndo hayupo. Hakuna kipimo cha uhodari ulaya kinayotokana ligi ya Ubelgiji. Hao unaowazungumza wametengeneza majina yao sehemu nyengine nasio hapo kwao Ubelgiji.
 
Turahisishe hapa nnachomaanisha hao kina Thibaus na De bruyne walifanya kazi kama anayoifanya samata ndo wakafika huko..kwa maneno yako thibaus angesifiwa wakati yupo ubelgiji ungeweza sema"ligi yenyewe eti ubelgiji ndo mnasema kipa mzuri" lakini ilibidi aonyeshe ukipa wake huko kwanza ndo akaenda chelsea mpaka anakuwa kipa bora duniani...
Aina ya goli lilelile lililofungwa Taifa linaweza kuwa sawa na lililofungwa Goodison park lakini sasa njia ambazo wabongo tutatumia kuyatofautisha ni vichekesho,tubadilike...
 
Mkuu huwezi fananisha wabelgiji na wachezaji wengine kwa kesi ya Ligi ya kwao. Wa belgiji wanavipaji na ndio mana wote hawakai. Na ukitizama wote wanatimka bado ni under 21. Hao uliowataja wote wameondoka wakiuwa hawazidi umri huo. Na wote walisijaliwa kwa vipaji vyao nasio kama waling'ara kwenye hiyo ligi. Watizame vizuri wote wamecheza timu hiyohiyo ya Samatta na hamna mwenye record wala heshima yoyote kwenye club. Unapotaka kumlinganisha samatta mlinganishe na wachezaji wengine wa kigeni ndani hiyo ligi ya Belgium. Nani Hodari unaemfahamu wewe? Nani ameendelea mpaka akawa Super star? Hivi kuna mchezaji mwengine unaemfahamu zaidi ya huyo mbongo mwenzio kwenye hiyo ligi hivi sasa?
 
Back
Top Bottom