Mbwa na paka...

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
[h=6]Paka na Mbwa wanapiga story
Paka: binadam wanatudharau sana! wanyama wengine woote wanaowafuga wana wala isipokuwa sisi tu!!
Mbwa:kauli hiyo ongelea huku huku dar sio Iringa
[/h]​
 
MZEE(babake binti):"Umekuja kutoa posa kwa binti yangu na unatafuna gum!,huko ni kukosa heshima"
Zuberi:"Mzee,mi hutafuna gum
wakati nimelewa ama nimevuta sigara pekee" MZEE:"Wamaanisha we hulewa na kuvuta sigara!! Na umekuja kutoa posa kwa binti yangu?"
Zuberi:"Mzee mi hulewa na kuvuta sigari wakati nimeenda club pekee" MZEE:"Unaenda club pia!!....salalaa..!
Zuberi:"Samahani nilianza kuenda club nilipotoka jela" MZEE:"Tobaa!! mpaka jela ushawahi enda!"
Zuberi:"Nilienda jela baada ya kuuwa mtu" MZEE:"Duh,kwa hivyo wewe ni muuwaji!"
Zuberi:"Nilikuwa na hasira nyingi,ni mzee mmoja alikataa nimuoe binti yake" MZEE:"Aaah,karibu sana bwanamdogo,we ndio mwanamme anaefaa kumuowa binti yangu"
 
Mwanamke mmoja aliyekuwa amebakwa aliambiwa na jaji athibitishe kuwa mwanaume aliyemshitaki ndie aliye mbaka,mwanamke akasema labda arudie tena?
 
excellent unatisha mkuu, ukitia maguu hapa lazima niburudike ila sema unapotea sana mkuu na kuacha jukwaa kutawaliwa na majuha wengi
 
hahahaaaaa, na ajichunge asiropoke maneno hayo mbele ya mchina teh teh,
Paka na Mbwa wanapiga story
Paka: binadam wanatudharau sana! wanyama wengine woote wanaowafuga wana wala isipokuwa sisi tu!!
Mbwa:kauli hiyo ongelea huku huku dar sio Iringa

nimeipenda hiiii, jamaaa katumia gia ya aina yake, duh
MZEE(babake binti):"Umekuja kutoa posa kwa binti yangu na unatafuna gum!,huko ni kukosa heshima"
Zuberi:"Mzee,mi hutafuna gum
wakati nimelewa ama nimevuta sigara pekee" MZEE:"Wamaanisha we hulewa na kuvuta sigara!! Na umekuja kutoa posa kwa binti yangu?"
Zuberi:"Mzee mi hulewa na kuvuta sigari wakati nimeenda club pekee" MZEE:"Unaenda club pia!!....salalaa..!
Zuberi:"Samahani nilianza kuenda club nilipotoka jela" MZEE:"Tobaa!! mpaka jela ushawahi enda!"
Zuberi:"Nilienda jela baada ya kuuwa mtu" MZEE:"Duh,kwa hivyo wewe ni muuwaji!"
Zuberi:"Nilikuwa na hasira nyingi,ni mzee mmoja alikataa nimuoe binti yake" MZEE:"Aaah,karibu sana bwanamdogo,we ndio mwanamme anaefaa kumuowa binti yangu"
 
excellent unatisha mkuu, ukitia maguu hapa lazima niburudike ila sema unapotea sana mkuu na kuacha jukwaa kutawaliwa na majuha wengi

Thanks mkuu nimerudi upya lazima kuwe na mbavu za ziada
 
MZEE(babake binti):"Umekuja kutoa posa kwa binti yangu na unatafuna gum!,huko ni kukosa heshima"
Zuberi:"Mzee,mi hutafuna gum
wakati nimelewa ama nimevuta sigara pekee" MZEE:"Wamaanisha we hulewa na kuvuta sigara!! Na umekuja kutoa posa kwa binti yangu?"
Zuberi:"Mzee mi hulewa na kuvuta sigari wakati nimeenda club pekee" MZEE:"Unaenda club pia!!....salalaa..!
Zuberi:"Samahani nilianza kuenda club nilipotoka jela" MZEE:"Tobaa!! mpaka jela ushawahi enda!"
Zuberi:"Nilienda jela baada ya kuuwa mtu" MZEE:"Duh,kwa hivyo wewe ni muuwaji!"
Zuberi:"Nilikuwa na hasira nyingi,ni mzee mmoja alikataa nimuoe binti yake" MZEE:"Aaah,karibu sana bwanamdogo,we ndio mwanamme anaefaa kumuowa binti yangu"

weye mdogo wangu Excellent mbavu sina duh! kajiopolea kabinti kilaniii
 
Last edited by a moderator:
hivi mdogo wangu wa moyoni Excellent huwaga unafkiri nini wakati wa kuandika hizi jokes? just to be curious
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom