olele
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 1,303
- 1,559
kuna mbwa mmoja hivi askari wa jeshi la marekani alikuwa ni balaa kwa kukamata wezi, mkuu wa mkoa wa kilimanjaro akamuomba, baada ya siku 3 alikamata wezi 10. mkuu wa mkoa wa dar naye akumuomba baada ya siku 5 wezi 20 alikamata, mkoa wa dodoma baada ya siku 6 wezi 30, basi mkuu wa mkoa wa iringa naye akamuomba baada ya siku 2 mifupa yake ikaokotwa.