Mbunge wa ubungo 2015, JJ Mnyika VS Shehk ponda, piga kura yako"

Status
Not open for further replies.
Ingawa mimi muislamu Ponda akiwa mbunge naama nchi bora bora nikaishi somalia
 
nchi hii iliyomilikiwa na mtakatifu nyerere na mnajitahidi kutaka kummilikisha padre slaa 2015 ni lazima mtamkejeli shekh ponda mwenye uwezo mkubwa wa kuondoa udhalimu ktk nchii. Mnyika hana uwezo kumlinganisha na shekh ponda.
Umesema vema, hekima haiwezi kulinganishwa na wendawazimu
Mnyika na Ponda ni vitu viwili tofauti sawa na mbingu na ardhi
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kushindanisha Mnyika na ponda.
 
Ni matusi makubwa kumpambanisha Mh. aliyechaguliwa na wananchi na ambaye michango yake kila apatapo jukwaa la kusemea husimama kwa niaba ya umma na mtu ambaye anajiona yeye tu na kundi lake; sera zenye mwelekeo wa kigaidi! Please, tafuta hoja nyingine achana na hii kitu.
 
J.J. Mnyika...huyo mwingine anaePONDA ajiandae kwenda kugombea ukatibu wa JUMIKI.
 
Udini ukae kando kama anaona anaweza na wannchi wakamkubali na agombee tuu.Tumeona wachungaji wangapi ni wabunge sembuse shekhe?Magwanda hapo ndipo mnapotuchanganya akitokea muislamu mwanaharakati mnampinga kwa uwezu wenu wote ila kwa mapdre na wachungaji kwenu poa.SIO KIHIVYO BANA YEYOTE ANAYETAKA NAFASI YA KUGOMBEA APEWE ILIMRADI AVUNJI KATIBA. TUUACHE KABISA HUU UDINI UTATUGAWA SISI KWA SISI.
UGOMVI WA SHEKHE PONDA NI WA KIIMANI ZAIDI HIVYO KAMA SIO MUUMINI HUWEZI KUJUA KIUNDANI OVER
Unataka agombee kwa tikiti ya chama gani?
 
ninachokipenda kwa ndugu zangu waislam ni mabinti wao tu. Ama kwa hakika mabinti wa kiislam wengi wao ni wasafi, wanajipenda na kwenye yale mambo yetu aaah mashallah. Nimekuwa nao kadhaa na hata huyu nilienae sasa ni mwislam... Japo nasikitika sitamwao na yeye mwenyewe analitambua hilo.

nini hii?! Mwenye akili anaweza kuandika uozo huu hapa kweli? Jamani punguzeni upuuzi kidogo hapa jf wengine tunakuja kwa ajili ya kupata habari makini toka kwa great thinker wa ukweli!
 
Sasa nimeamin kuwa huyu Shekh amewatumia Waislam (kwenye sensa) kwa maslahi binafsi, kumbe alikuwa anatafuta umarufu wa kugombea Ubunge?? Em funguka, atagombea kupitia chama gani..??
 
Wakuu nisameheni kwa umbumbumbu wangu na ufedhuli wangu wa kuanzisha thread ya kijuha na ya ukilaza kama hii ila ilikuwa ni just kuwapa hi baada ya kutoka kwenye ban iliyosababishwa na wakina zomba, NISAMEHENI kwa ***** wangu na hizi pumba kwani MNYIKA hawez kushindanishwa na BOKHOHARAMU PONDA, nafuta kauli yangu.

Naomba kuwasilisha.
 
Wakuu nisameheni kwa umbumbumbu wangu na ufedhuli wangu wa kuanzisha thread ya kijuha na ya ukilaza kama hii ila ilikuwa ni just kuwapa hi baada ya kutoka kwenye ban iliyosababishwa na wakina zomba, NISAMEHENI kwa ***** wangu na hizi pumba kwani MNYIKA hawez kushindanishwa na BOKHOHARAMU PONDA, nafuta kauli yangu.

Naomba kuwasilisha.


Kwa mwendo uliokuja nao, ban inakutafuta tena kwa mara nyingine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom