Mbunge wa Tarime Nyagwine Nyambari na Mauaji ya Nyamongo

inasikitisha sana tunanyanyaswa nyumbani kwetu!wale wanaume wa nyamongo wameamua vizuri tu kuwapiga mawe
na wale askari ni wanafki,huwa wanawaruhusu jamaa wachote mchanga wa dhahabu kwa kupewa kidogodogo sasa waliposhtukiwa wanajihami na risasi za moto!!
 
jamaa kakatika mkono akiwa kazini lakini wamemtema tu,hawawajali hata wafanykazi wao,acha watu wakajichukulie almas zao bwana.
 
jamaa kakatika mkono akiwa kazini lakini wamemtema tu,hawawajali hata wafanykazi wao,acha watu wakajichukulie almas zao bwana.

Bado wangeweza kumpatia kaz nyingine inayoendana na ulemavu wake kama hawataki kumlipa fidia stahiki
 
Serikali ya Tanzania ikishirikiana na Kampuni ya Uibaji wa Rasilimali za Watanzania inayolijulikana kwa Jina la North Mara Barrick ambayo ulishirikiana na kuwauwa Watanzania kwenye vijiji vyao kwa kutaka kuiba Rasilimali za wanavijiji hao huku wakisaidiwa na Mamluka wa wao wa Serikali inayoongozwa na Mafisadi wanaowasaidia Wageni kuiba mali za Watanzania. Angalieni hizi picha Jamani ndugu zetu wanateseka kwenye nchi yetu.
 

Attachments

  • TZ Shamba la babu.JPG
    TZ Shamba la babu.JPG
    57.6 KB · Views: 160
  • TZ.JPG
    TZ.JPG
    64.3 KB · Views: 54
  • TZ Shamba la bibi.JPG
    TZ Shamba la bibi.JPG
    136.4 KB · Views: 56
  • Maisha bora.JPG
    Maisha bora.JPG
    103 KB · Views: 154
  • someone_else_TreasuresTanzania.pdf
    1.2 MB · Views: 41
  • Maji.JPG
    Maji.JPG
    42.6 KB · Views: 152
Maskini Tanzania, nchi yenye kila aina ya utajiri usiowanufaisha wananchi wake.,hali hii mpaka lini?, mbona hatuamki toka kwenye huu usingizi mzito tuliolazwa kwa kuimbiwa wimbo wa 'amani', amani hiyo tunayohofia kuipoteza ipo wapi katika nchi hii iliyojaa njaa, hudhuni, chuki na mahangaiko ya kila aina, sitaki kuona vita ikitokea lakini napenda kuona tukiamka wote kwa kauli moja kupinga ukandamizwaji na unyanyasaji tunaofanyiwa na tuliowapa madaraka ambao badala ya kututumikia wamekubali kuwa vibaraka.
Siku itafuka naamini, unyonge huu una mwisho wake.
 
Haya yote ameyasababisha Mh. Lema kama ninavyomnukuu Mh. Balozi Kagasheki.
 
who is kagasheki, poor minister leave the office, how can u give poor comments on sensitive issue which touches peoples live, mnafikiri uhai wetu hauna thamani. poleni ndugu zangu wa tarime, kwa pamoja tuseme udhalimu unatosha. badala ya kuwalinda watanzania na mali zao mnawaua. then how can a police provide condolences to bandits!!!!!!!!!!!!!!, this is confusing. mungu atalipa haya yote
 
Ahh!,

Inauma sana hii.

Siku inakuja, nitakapohakikisha damu na maisha ya kila raia wa nchi hii yanapewa uthamani wote. Maisha ni zaidi ya dhahabu. Maisha ya kila raia ni muhimu sana kuliko wanyamapori na rasilimali zote. Hapa ilipofika haivumiliki,

O my God, have mercy on Tanzania and people on it. I pray that, you deal with this situation and give right to the oppressed. Oo God, I humbly pray with tears.

Amen
 
Hata sisi tulipigwa na majeshi ya SMT/SMZ/CCM, mbona hamkusema sana Wakuu?

Hio ndio CCM, na bado, mtaipata sana.
 
Back
Top Bottom