Mbunge wa Tarime Nyagwine Nyambari na Mauaji ya Nyamongo

ulizeni wakuu wa mikoa na polisi mkoa wa tanga wa zamani walivyokuwa wanahamishwa kisa tu kuonesha njia ya kutatua mgogoro kati ya wananchi na mmiliki wa mgodi wa madini wa kararani.

Atahamishwa huyo na viongozi wa chama cha magamba
 
Kikwete hana ubavu wa kumfukuza kazi huyo DC wa Tarime mbona yule wa Maswa aliyemdhalilisha mbele ya kadamnasi [ alipomfukuza kazi Mnali alipowachapa viboko walimu Bukoba] na mpaka leo Yamungu bado anakula mzigo!!
 
Hizo Pesa watoe Wapi na Wao Wamefulia hadi Mishahara Wanakopa... Wewe Sasa utasababisha Tuongezewe Kodi kwenye Bidhaa Zetu Muhimu za Kila Siku... alimradi wapate hizo Pesa walizoombewa na DC Ili hali iwe Shwari Nyamongo
ni kweli kabsa serikali kwa sasa imeishiwa-hawana hela-nazan uchaguzi umewa-cost vya kutosha-
 
By In2EastAfrica - Sat May 21, 8:09 pm



North-Mara-Gold-Mine.jpg
North Mara Gold Mine


More security personnel have been deployed in Tarime District to beef up security following a prolonged tension caused by killings of five civilians at the North Mara Gold Mine.

“There are many policemen from Mwanza, Musoma, you name it. Some roads have been closed”, amicable sources from the region told the ‘Sunday News’ from Tarime on Saturday afternoon.
Tarime special police zone Regional Police Commander (RPC) Assistant Commissioner of Police (ACP) Constantine Masawe confirmed the reports, saying that they are on high alert against trouble makers.

“We have changed our working style, and security is tight everywhere because some people are issuing threats to breach peace”, he said.

Relatives of the deceased have camped at the Tarime District Hospital along with dozens of people waiting for bodies of their loved ones to be examined.

“Until today they have refused to take the bodies for burial arrangement. They are now waiting for a private doctor to witness the postmortem”, a senior official with the district’s largest hospital said. Police have accused some political leaders for allegedly using the killings to gain popularity.

Senior CHADEMA leaders were due to arrive in Tarime on Saturday evening on what was tipped to be a tour meant to seek justice done over the killings.

They included shadow Minister for Law and Constitution Mr Tundu Lissu and Mr Mabare Marando.
ACP Masawe welcomed the CHADEMA delegation, saying that it will help to speed up investigations and enhance transparency.

“An independent commission will be formed, and any one who will be found guilty will be held responsible. So we don’t have any problem with the arrival of the opposition party officials, and this will also increase transparency”, the RPC said.

Some envoys and high government officials from Dar es Salaam were also expected to arrive in Tarime any time from now to assess how the killings happened.

Senior police officers from Dar es Salaam headquarters are also in Tarime to try to persuade affected families to accept the outcome and take the bodies from the hospital where they have been persevered for several days.

Meanwhile, CHADEMA is making final preparations to fund burial expenses of the four people who were shot dead by anti-riot police at the North Mara Gold Mine in Tarime District of Mara Region.
“We are going to buy everything, including a cow for each family as well as transporting the bodies of the deceased”, a local party official said on Saturday.

Postmortem of the bodies is due to be conducted on Sunday, followed by burial ceremony on Monday, according to the official.

“Human rights officials have already arrived and Mr Mabere Marando has also arrived and we are also waiting for Mr Tundu Lissu so that they can all witness the examination of the bodies ”, he added.

By MUGINI JACOB, Tanzania Daily News
 
Nimesikiliza maelezo ya Mbunge wa jimbo la Tarime, Mh. Nyambari Nyangwine juu ya kilichotokea jimboni kwake nimesikitika sana. Naamini Nyambari ni mzaliwa wa jimboni mwake. Nilichoshangaa na kukata tamaa ni pale alipohojiwa na kusema kwamba, ukweli juu ya matukio hayo ni lazma tume iundwe kubaini chanzo ni nini.
Nimejiuliza sana juu ya uwakilishi wake kwa wananchi waliomchagu.
1. Je yeye kama mbunge wa jimbo hilo, ni kweli hajui matatizo ya wapiga kura wake na kuwasemea mpaka iuundwe tume?
2. Ni nini kilimsukuma kugombea nafasi hiyo ikiwa hata matatizo ya muda mrefu ya wananchi wake hayafaham?
3. Kwenye kampeni zake aliahidi nini juu ya kuwasaidia wapiga kura wa Nyamongo?
3. Kama tume ikiundwa na majibu yakitoka kwamba wananchi wa eneo hilo ni wavamizi, ataenda kuomba kura tena kwa wananyamongo kwa mara ingine?
 
Tume ya nini tena?

kwa mujibu wa Nyangwine, anashauri iundwe tume ya kuchunguza tatizo, na kwa kuongezea ameiomba serikali iunde tume hiyo ikishirikisha wataalamu wa madini, serikali, pamoja na wananchi wa nyamongo
 
Tume ya kina bomani na zitto ilisema nini??? au haikwenda North mara (Nyamongo)? Namshauri aendelee na taaruma yake ya kukopy vitabu kwa ajili ya vijana wetu wa A Level
 
vifo migodini ni suala serious,muda mrefu mengi yamekuwa hayasemwi bali yanawekwa kwenye report za siri....hatuwezi kutegemea fair judgement kutoka kwa polisi au walinzi wa migodini au hata serikali.....tume huru yaweza kutupa majibu sahihi zaidi na taarifa ambazo pengine hatuna kuhusu kinachoendelea migodini. Nimesoma report mbalimbali kuhusu vifo migodini,ningependa iwepo tume ambayo itatoa taarifa kwa umma na si ripoti za chini chini tu.....!! Kwa hili namuunga mkono na nafikiri si sahihi kusema wabunge wa aina yake ni janga la kitaifa,unajua wananchi wake wanataka nini? hawezi kukurupuka tu,atakuwa anaungwa mkono na baadhi ya wananchi wake na pengine hata Chama chake...
hata kama kama angekuwa kakosea,kosa moja halimfanyi yeye kuwa janga la kitaifa, janga la kitaifa ni wale wanaotafuna kodi zetu kila siku na wale walioshindwa kuwachukulia hatua.....!!
 
Jamani Nyamongo ni tume ngapi zimeeenda? nafkiri hata kamati ya bunge ya nishati na madini ilienda pale report zao zilisemaje? kila siku tume afu hamna kimya tumechoka. Kwani tatizo la Nyamongo halijulikani au? hadi watafute x ray au ultra sound ndo lijulikane mi nafkiri matatizo yanfahamika kinachotakiwa ni hatua zichukuliwe ili kunusuru mustakabali wa wana Nyamongo. hili la mbunge kutaka tume ni njia yake ya kutaka kubuy time ili wananchi wasahau machungu yao kwa sababu binadamu tumeumbiwa kusahau, ili na yeye apate nafasi ya kwenda na kuanza kujipendekeza kwao kuonyesha anawajali wakati wananchi wananchi wameuliwa yeye alikuwa anazunguka na MUkama kuhubiri usanii wa kujivua gamba, kama ana nia ya kweli angekuwa ashaanza kufanya mchakato wa kutatua tatizo sababu hili tatizo halijalipuka kama volcano ni la muda mrefu. Je before haya mauaji ni hatua zipi alikuwa ashaanza kuchukua kutatua tatizo ? atueleze ka vipi abaki tu Dar aendelee kudurufu vitabu vyake
 
Hana jipya yule,aendelee tu na kukopy vitabu vimpe hela ya kula kwani uchaguzi ujao wa 2015 jimbo linarudi Chadema.
 
Nyoka kashaingia ndani tunadai aundiwe tume kuwa ameingiaje na kipi kimepelekea aingie huu ni upuuzi wa kutupa haiwezekani hata kidogo serekali ilitakiwa igawanye maeneo ya wachimbaji wa dogo na mwekezaji na ndio kilio cha watu wa nyamongo kwamba serekali isinge gawa mgodi wote hadi maeneo ya wachimcji wa dogo.huyu nyambari ni mpumbavu na zezeta wakutupa ana jua sana ila anaegemea upande wa serekali ya chama cha magamba.
 
Hana jipya yule,aendelee tu na kukopy vitabu vimpe hela ya kula kwani uchaguzi ujao wa 2015 jimbo linarudi Chadema.

mkuu kuna kesi tumemfungulia na tuna uhakika tutashinda hiyo kesi na uchaguzi utarudiwa vizuri na jimbo litarudi kwetu kwa sababu waliiba kura
 
nashauli iundwe TUME kuchunguza manaopinga Kuundwa TUME na mwenyekiti ni mimi>>>.>>>>>>>> kama mlikuwa amjui tume zinazoundwa kila siku ni sehemu ya ajira za kikwete wala hazina uhusiano wote na matukio zinayochunguza,
kwani nilini maoni ya hizo tume yametekerezwa, hata ile ya mwakyembe iliyomtoa jasho lowasa bado inaviporo sema Lowasa alikurupuka tu kujitoa kwenye kauwaziri mkuu kwa kuogopa tume zisizo na meno.
waku ajira hiyo hacheni kupiga kelele zamu yangu kwenye kula kodi la sivyo nitapinga kuundwa tume.
TANZANIA JAMII MPAKA HASIRA, ANYWAY POA
 
Tume kila siku na hakuna hatua zinazochukuliwa sn wanazidi kutupotezea pesa zetu wananchi.Tume kwani tatizo limeanza Leo?Kwa mujibu wa wakazi wanaouzunguka mgodi huo ni kuwa idadi ya watu waliopoteza maisha yao ni watu 23.Sasa muda wote huo alikuwa wapi?inawezekana Ubunge alizawadiwa na tume ya Uchaguzi
 
Tatizo la Nyamongo na vijiji vinavyolizunguka kama Nyangoto etc ni kubwa,

Wananchi pamoja na viongozi wao waliowachagua walipewa faida za kuwa na mgodi ambazo mojawapo ni maendeleo, masomo nk

Ahadi hizo zimetekelezwa lakini katika hali au kasi isiyoridhisha, mimi nimefanya kazi Barrick miaka ya nyuma na siku nimeenda Northmara kwa mara ya kwanza helicopter ilipigwa mawe na usiku huo tulivamiwa,

Sikuweza kulala na hata kuondoka ilikuwa issue, mgodi ulijitahidi kuweka kamati shirikishi kati ya kijiji na mgodi ( sina uhakika kama bado ipo?) Kamati ilikuwa inaratibu na kushughulikia maendeleo ya wananchi wanaozunguka mgodi na wawekezaji, ikiwa pamoja na ajira

Wanakamati walikuwa wazee wanaoheshimika hapo kijijini, na kila jumatano ilikuwa ni 'open day' kwa wananchi kuingia mgodini na kuangalia shughuli zinazofanyika hapo mgodini...

Kwa kipindi kirefu mahusiano yalikuwa mazuri ukiacha rabsha za hapa na pale...tangu nimeacha kazi kwenye haya makampuni ya Barrick sijafuatilia kwa undani kiini cha migongano, lakini nadhani iko haja ya tume 'shirikishi' kuweka bayana peupe na peusi,

Sambamba na hilo, kuepusha machafuko yasiyo ya lazima na kukomesha vitendo vya uvunjifu wa amani...si sahihi kwa wananchi kuvamia mgodi, pia sio sahihi kwa polisi kuwapiga risasi za moto iwapo hawakuwa kwenye mapambano
 
Unajua Nyangwine hanalolote la msingi ktk siasa.Napendekeza arudi kuchakachua vitabu mashule.Otherwise atakuja kuweka record mbaya ktk Taifa either atachapwa viboko mbele ya wanainchi au atawekwa exile ndani ya inchi yake.
 
unajua inauma sana pesa kutumika kumnyang,anya mtu haki yake kinacho aminika kwenye jimbo la tarime wizi ulifanyika mkubwa sana zaiddi ya kura 1700 ziliibiwa mpaka kumpa ushindi nyambari nyangine mtu ambaye maisha yake yote akuwai kuishi tarime na akuwai hata kujenga nyumba na wakati alipo taka ubunge ndipo alipokuja na kupanga nyumba maeneo ya nkende njia panda ya kuelekea sirari na kibaya zaidi wana tarime awajui hata pa kumpata mbunge wao na kumpa matatizo yao muda mwingi anakuwa dar es salaam tena nyumbani kwake pale jogoo na muda wa kazi anauza vitabu pale kariakoo uku akiwaacha wananchi wake wakiteseka na uenda tarime kwa matukio makubwa ya kichama kama hv juzi kumpokea mkama kwa kweli anaboa sana na atufai hapa tarime,tunaombea weitara ashinde kesi ili turudie uchaguzi
 
Back
Top Bottom