Mbunge wa Tarime na mgogoro wa Nyamongo

Chanya

Senior Member
Mar 2, 2011
133
22
Mbunge wa Tarime Nyambari Nyangwine live cloudz msikilizeni yupo na kina Hando
 
Anataka kuongelea hali ya tarime na ishu yake ya kupopolewa mawe
 
Mbunge wa Tarime Nyambari Nyangwine live cloudz msikilizeni yupo na kina Hando

Naomba nisisikie mtu analalamika baadae eti Hando katukana, inaonekana hiyo ndio redio yenu kipenzi hiyo. mimi sina muda wa kusikiliza redio iliyojaa mashoga.
 
Naomba nisisikie mtu analalamika baadae eti Hando katukana, inaonekana hiyo ndio redio yenu kipenzi hiyo. mimi sina muda wa kusikiliza redio iliyojaa mashoga.

matola naitaji ufafanue kuhusu "sina muda wa kusikiliza redio iliyojaa mashoga" shoga pale ni nani?
 
ndiye yule aliyepigwa???

ndo yule yule alokimbia tumbo wazi hajaanza kuonge ila amepinga kilimo cha bangi kwamba hana uhakika kama kinasomesha watoto wakati tunajua pale kwao ni miongoni mwa familia zilizoinuka sababu ya biashara ya bangi Kenya
 
kwanza pale tarime nyamongo nani ana muda wa kusikiliza radio watu wameshaamka saizi wanatafuata mawe ya dhahabu kwa ajili ya kujipatia pesa yeye anakuja kuzungumzia hapo angerudi tarime aonane na wazee awapigie magoti ili waweze kurudisha mmahusiano mazuri kati yake na wananchi ngoja wakurya wamsikie sijui atawaeleza nini akikanyaga tarime
 
Hv kweli!huyu mbunge mbona simwelewielewi,kashindwa kutatua matatizo ya jimbo lake na kwenda kujioshea Dar!huyu vipi jamani!anatakiwa apewe kichapo cha uhakika
 
Sikia anavyojikanyaga anashindwa kueleza kiuwazi anasema hajapigwa yeye walopigwa ni walinzi
 
amesema alienda na walinzi binafsi,inakuwaje mbunge anaenda jimboni mwake na walinzi binafsi??sielewi
 
Anasema CDM hawakutengeneza mahusiano na wawekezaji na alikuwa hajui kama polisi walikuwa wanaruhusu raia kuingia mgodini
 
jamani mwenye shida ya kumsikiliza atamsikiliza, wewe kama huhitaji kumsikiliza zima redio au fungulia redio nyingine hata za dini zipo nyingi tu unaweza kusikiliza. na hayo ya kusema kuwa "mashoga" wewe inakuhusu nini? hilo ni swala la mtu binafsi.

jamani tuwe watu wa kuzungumzia "issies" na siyo kuzungumzia WATU...!!!
 
icon1.png
Matusi Redioni

Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha jahazi Clouds Fm, Kibonde, Kayanda na Wasiwasi walikuwa wanajadili kuhusu kufa kwa ATC, mjadala umeenda vizuri japo Kibonde alikuwa anaonekana mwenye jazba sana.......kilichonishangaza ni pale alipojidai kuwa ana machungu sana na kufikia hatua ya kutoa tusi la nguoni (k****m***m**k**)nadhani watu wazima mmenielewa, Hata wenzie aliokuwa nao niliwasikia wakicheka kichinichini kwa mshtuko walioupata na simu zikipigwa mfululizo,sasa linakuja swala la je....Clouds FM imekuwa ya kihuni namna hii kiasi ambacho imeanza kutoa matusi ya nguoni?
Nadhani kuna mliokuwa mnasikiliza pia,mtakubaliana na mimi. Kwa kweli ni fedheha.
 
Back
Top Bottom