Mbunge wa Tarime na mgogoro wa Nyamongo

Hebu tujuzeni kwa muhtasari ameongea nini iwe pumba mchele yote tumwagieni!
 
Kwa kiongozi yeyote makini na hasa mbunge ambaye amechaguliwa na wananchi ili kuwawakilisha wanapata msiba halafu anawaacha ni uhuni na uendawazimu. Usipojai mambo ya msiba utajali nini?
 
Anasema serikali itunge sheria ya kuzuia wabunge kuingia majimbo yasiyo yao na wanatarime wamechukia wabunge wasio wazawa kwenda tarime kuzuia mazishi na hatishwi na mavuvuzela mwisho kasema atahakikisha amani inarejea tarime na yeye bado mbunge ngangari wa tarime
 
Kwani huyu mbunge hana akili? yaani wananchi wake wameuwawa badala ya kukaa nao wajue wanapataje haki zao yeye anakuja kuongea kwenye radio ambayo sina uhakika kama tarime inasikika
 
Anasema serikali itunge sheria ya kuzuia wabunge kuingia majimbo yasiyo yao na wanatarime wamechukia wabunge wasio wazawa kwenda tarime kuzuia mazishi na hatishwi na mavuvuzela mwisho kasema atahakikisha amani inarejea tarime na yeye bado mbunge ngangari wa tarime
Huyuu mwakilishi wa wananchi....mbona hakwenda kuwazika wapiga kura wake...Tarime wanazika yeye yupo dar anapiga domo.....akubali basi kama wananchi wamempa ukimbizi...
 
Analo hilo akienda huko wanabonda tena kwani wameshathibitisha kuwa yeye sio mwenzao.AKUFAAYE KWA DHIKI NDIYE MWENZAKO.
 
anaeleza nini huku alipigwa juzi tu kwenye mkutano wa ritongo Nyamongo then anasema kuhusu polisi kuiba miili ya marehemu waliopigwa risasi na polisi haohao na kwenda kuitelekeza barabarani
 
Eti hando anasema kuwa huwezi kuwa mtu wa sumbawanga ukaweza kujadili mambo ya tarime. Takataka hilo. ila tetesi ni kuwa jana anayejiita mbunge wa Tarime akiwa na Chambili wamempigia simu Hando na kukutana naye baa na wamemwachia bahasha kaunta.
 
icon1.png
matusi redioni

leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha jahazi clouds fm, kibonde, kayanda na wasiwasi walikuwa wanajadili kuhusu kufa kwa atc, mjadala umeenda vizuri japo kibonde alikuwa anaonekana mwenye jazba sana.......kilichonishangaza ni pale alipojidai kuwa ana machungu sana na kufikia hatua ya kutoa tusi la nguoni (k****m***m**k**)nadhani watu wazima mmenielewa, hata wenzie aliokuwa nao niliwasikia wakicheka kichinichini kwa mshtuko walioupata na simu zikipigwa mfululizo,sasa linakuja swala la je....clouds fm imekuwa ya kihuni namna hii kiasi ambacho imeanza kutoa matusi ya nguoni?
nadhani kuna mliokuwa mnasikiliza pia,mtakubaliana na mimi. Kwa kweli ni fedheha.
nilimsikia! Kweli kabisa alitoa hilo tusi.
 
Anasema serikali itunge sheria ya kuzuia wabunge kuingia majimbo yasiyo yao na wanatarime wamechukia wabunge wasio wazawa kwenda tarime kuzuia mazishi na hatishwi na mavuvuzela mwisho kasema atahakikisha amani inarejea tarime na yeye bado mbunge ngangari wa tarime
kumbe hajui anafanya nini bungeni?
kwani sheria wanazo tunga ni za jimbo?
clouds fm iko kinondoni,yeye pale sio mbunge,anafanya nini huku dar?
mbweha mkubwa
 
amesema alienda na walinzi binafsi,inakuwaje mbunge anaenda jimboni mwake na walinzi binafsi??sielewi

Ukiona mbunge anaenda na walinzi jimboni kwake nikielelezo tosha kura hazikutosha alipita kwa kuchakachuwa wapiga kura ndowalinzi wake anapokuwa jimboni
 
Anaendelea kutufanya watanzania tuichukie zaidi serikali ya Jk
 
jamani mwenye shida ya kumsikiliza atamsikiliza, wewe kama huhitaji kumsikiliza zima redio au fungulia redio nyingine hata za dini zipo nyingi tu unaweza kusikiliza. Na hayo ya kusema kuwa "mashoga" wewe inakuhusu nini? Hilo ni swala la mtu binafsi.

Jamani tuwe watu wa kuzungumzia "issies" na siyo kuzungumzia watu...!!!
ukituliza jazba, unaweza jenga hoja vizuri. Kila mtu apate uhuru wa kusikiliza anachokitaka kwa mujibu wa katiba. Kuhusu ushoga ni jambo ambalo huko mbeleni litazua mzozo wa kijamii. Mimi ninaamini katika kitu kinachoitwa "curtural relativism" hizo sera za kiliberali zinazochafua mila na tamaduni zetu mkizificha nyuma ya kichaka "ni swala la mtu binafsi" hatufiki popote. Swala la ushoga si jema! Ila inatakiwa huyo aliyelizua athibitishe maana uzushi hautakiwi.
 
Clouds fm ndiyo redio bora kwa sasa tz halina kificho nawapenda watangazaji wake hasa PJ Hando suala la mbunge wa tarime kuja kujioshea dar nashanga alitakiwa kuwepo jimboni kwake kushughulikia matatizo ya wapiga kura wake yeye alidundwa na ilikuwa halali Tarime ni jimbo la CDM hapa ccm ilichakachua ili kulinda maslahi yake nyamongo, CCM ina mkono nyamongo na kanda maalum imeletwa hapa sio kwa ajili ya kudhibiti wizi wa mifugo na uhalifu ambao watu wanafanyiwa na majambazi kutoka kenya bali ni kwa ajili ya kuhakikisha ccm inatawala jimbo ili kulinda maslahi yao ktk mgodi Ngeleja anahusika ktk hilo. hamshangai kuona wabunge wa cdm kutoka majimbo mengine wanapendwa kuliko tarime kuliko Nyanginde hayo ndiyo madhara ya kuchakachua na sasa wamepanga kumfukuza kabisa asikatize hapa ksb sio msaada ameshindwa kukizizi vigezo vya Wangwe jamani hapa tarime kuna makubwa zaidi ya hayo mnayoyasikia tunafikiria kujitenga tuhamie kenya ksb serikali siyo msaada tena
 
jifunze kuweka vituo panapo stahili next time
 
Back
Top Bottom