Mbunge wa Tanga Mjini CUF ashikiliwa na Polisi, kusafirishwa usiku huu kwenda huko Dar es Salaam

hivi kauli ile, unaweza kusema kaonewa? unaituhumu serikali bila ushahidi huo si uchochezi? Tuchunge kauli zetu.
 
Point
CCM imechokwa , haina sera wala vision yoyote , wala tusitegemee maendeleo yoyote . Kitu wanachokipigania ni kuanzishwa vurugu ili wapate sababu ya kuendeleza utawala wa mabavu , vyenginevyo CCM inajimaliza yenyewe
 
Nchi ya mwendokasi. Hv Tanga hamna mahakama? Au intelijensia imegundua mahakama za Tanga hazitatenda haki
Msipende kukurupuka? mnajua anashikiliwa kwa kosa gani? kalitendea wapi? angekuwa kalitendea Tanga asingesafirishwa, kitu kama hamjui ni bora kukaa kimya.
 
Uko shule umeenda kumalizia wenzio uji tu mleta mada kakuambia kakamatwa Tanga baada ya mkutano wake mbona TL walimtoa Singida hadi dar
 
Ni vyema watuhumiwa wangejitokeza na kukanusha kuliko kutumia mkono wa dola.
Hivi unadhani watuhumiwa kukanusha kunasidia kutuliza hasira za ndugu waliouawa?
Hao jamaa wakichukua sharia mkononi dhidi ya serikali huyo Mh. Mbunge atajibu nini?
Anastahili kutiwa nguvuni na kisha apelekwe Mahakamani kudhibitisha kauli zake. Tusichezee amani! !
 
Sasa kuhusu hio kauli yake ina ukweli wowote? Watu wa Tanga tupasheni kuna nini huko
 
Hivi unadhani watuhumiwa kukanusha kunasidia kutuliza hasira za ndugu waliouawa?
Hao jamaa wakichukua sharia mkononi dhidi ya serikali huyo Mh. Mbunge atajibu nini?
Anastahili kutiwa nguvuni na kisha apelekwe Mahakamani kudhibitisha kauli zake. Tusichezee amani! !
Tanga Mahakama Hamna?
 
Hoja za kisiasa hujibiwa kwa hoja za kisiasa.
 
Uko shule umeenda kumalizia wenzio uji tu mleta mada kakuambia kakamatwa Tanga baada ya mkutano wake mbona TL walimtoa Singida hadi dar
Kila.za mkubwa wewe, huko dsm alishtakiwa kwa kosa alolifanya Singida? ni bora kukaa kimya mtu akakuzania kuwa u mpumbavu kuliko kuongea ukathibitisha upumbavu wako.
 
Back
Top Bottom