Sobangeja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 401
- 354
Aeshy Hilaly Halphany amekata rufaa ya kupinga kuvuliwa ubunge wa Sumbawanga mjini (CCM) katika mahakama kuu jijini D'salaam badala ya Sumbawanga. Jana hukumu haikusomwa kutokana na mapungufu ya kisheria.wadau kukata rufaa nje ya jimbo lako la uchaguzi inaonyesha picha gani na je sheria inasemaje juu ya hilo? :A S 465: