Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ajivua Ubunge; ajitoa CCM na kuomba kujiunga CHADEMA

Hata kama wangekua 100000
But kwa sasa chadema ndio kimbilio la watu wenye kashfa za ufisadi
Inatia huruma sana kama mlichokihubiri kwa miaka mingi Leo ndio mnachokikumbatia
Too sad.
Dogo umekomaa kweli na CHADEMA upo zamu??
Lakini Shonza alikomaa hivi hivi leo ni waziri, chemka!!
 
Mkuu inatakiwa akiiba akiwa CCM ashitakiwe, na CCM ihakikishe anachunguzwa na kufikishwa mahakamani. Lakini ni kinyume na inavyofanyika. Akiiba au akifanya ufisadi serekali ya CCM hu mkingia kifua, akijivua tu uanachama ndio tuhuma zinaanza kusikika toka CCM. Vipi mtuhumiwa mtoa rushwa, badala ya kufikishwa mahakamani, kapewa ukuu wa mkoa, hilo unaliona ni sawa.
Hapana
Haiwezi kuwa sawa......Kwa kuwa hayo yote ni maovu......

Lakini historia inaonyesha kuwa waibuaji wa tuhuma za rushwa ni wapinzani......lakini inakuwa je hao hao ndio wanaowatetea pindi wakijiunga nao.......au zile tuhuma ni propaganda za kisiasa....!?
 
Nyalandu ameonesha njia na bila shaka wale wanaosema kuwa walihamia ccm kutoka chadema ili kuunga mkono juhudi za JPM itabidi wajitafakari kuwa hizo juhudi waliziona vipi wakiwa madiwani lakini Nyalandu asizione akiwa mbunge? Ama kweli siasa ni akili za kuambiwa ambazo kila mara unapaswa kuchanganya na zako.
 
Rais aunde Tume ya Masuala ya Maliasili Kama alivyofanya kwny Madini ili kumtia Adabu huyu Mtu!
Mbona ana madudu mengi tu kayafanya akiwa maliasili na hao chadomo ndio waliokuwa wanabumbulua uozo wake. Tafuteni clip ya Nassari kama sikosei au waziri kivuli wa maliasili wa upinzani kipindi nyalandu akiwa waziri wa utalii. Utasikia walivyomchana mpk Leo ukisikia chadomo wanamkaribisha basi utagundua chadomo hawapo serious wanawacheza shere tu wananchi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
ulitakaje labda? abaki kwa majambazi CCM?? NYALANDU NI Mnyaturu haswaa sawasawa na LISSU.
 
Kwa nini mlijua ana madudu halafu mnamuacha?

Si ndio ninyi mliojenga mahakama ya Mafisadi?

Mumewafunga akina nani wakati mnamuacha Nyalandu, sasa akiwaponyoka ndio mnaamka toka usingizini?

Kama sio wanafiki, washamba na Malimbukeni?

Mnawajua tu wapo wengi mnawafuga humo humo lakini mnajitoa akili, kulikoni?

Huu si ndio utawala wa Wanyonge? Ambao wengine ni halali kubomolewa nyumba zao lakini wengine ni haramu.

Nyalandu bado yupo acheni kujing'atang'ata fanyeni jukumu lenu kama kweli mnachukia uovu alioufanya.
Mimi sisemi kama mwanachama wa chama chochote kile, unielewe kitu kimoja hayo maneno ulitakiwa kuyatambua pale alipokuwa wizara ya maliasili mlipokuwa mnamtuhumu. Huo upuuzi wa kubadilisha maneno mtu akija upande wenu halafu mnataka tuwape Nchi tofauti yenu na hao wenzenu itakua ipi?????? Mimi bado ninamtuhumu huyu Nyalandu hata kama akienda ama akibaki huko ccm. kazi ya kumpeleka mahakamani hii si yangu mimi ni sawa na wewe ulipomtuhumu Lowasa kuwa fisadi kwa miaka 7 halafu hukumpeleka mahakamani.
 
Huyu jamaa sikuwahi kumkubali hadi pale alishughulika na wale watoto wa lucky vicent, he is smart and organized
Huyu ni aina ya wale watu who act more than they speak, na siyo sasa...tunaomfahamu ni toka utoto wake, akiwa High School Ilboru Arusha tayari alishatembea Ulaya yote, Marekani na Israel na Asia...akili yake hufanya kazi haraka sana!
 
Mkuu kahama ili kutafuta huruma ya wanachadema kumtetea maana akiguswa utasikia au kwasababu u kahama
Wezi wengi wakitaka kujisafisha njia ni moja ni kujiunga na CHADEMA wanakua wasafi. Jamaa sijui kama kweli wanatumia akili kufikiri ama wanatumia nini. Huyu jamaa hata wakati wa kampeni kwatukana hao chadema leo hii CHADEMA wanamuona mwokozi sababu tu anapingana na Magufuli. Magufuli atamaliza miaka yake 10 bila matatizo japo sikubaliani na baadhi ya mamabo anayoyafanya lakini nadhani watanzania walifanya la maana sana kutowapeleka hawa Mkapa aliowaita WAPUMBAVU ikulu.
 
Ngoja na mimi nichangie nyalandu ana akili sanaaa kuhama ccm kipindi hiki.future yake ya kisiasa huko ccm kwa sasa ilikuwa limited na labda asingepata nafasi tena hata ya kugombea ubunge.so amefanya kitendo cha kishujaa sana.upepo wa kisiasa unaonyesha tunakoelekea marais watakua hawatokani na mivyama ya kisiasa watakua ni wagombea binafsi so kwa maono yangu anaweza kuja kuwa rais miaka michache ijayo.ajipange tu vizuri na acheze karata zake vizuri.ni wakati sasa wa kuwa na marais waliosomea nje ya nchi hasa nchi zilizoendelea may be wataleta waliyoyaona huko.big up nyalandu
 
Huyu ni aina ya wale watu who act more than they speak, na siyo sasa...tunaomfahamu ni toka utoto wake, akiwa High School Ilboru Arusha tayari alishatembea Ulaya yote, Marekani na Israel na Asia...akili yake hufanya kazi haraka sana!
Siku zote mapatapeli ni smart ndiyo maana wanawarubuni watu na akili zao. Sasa kama ulimkubali basi na wewe ni Muhanga wa utapeli. Hivi inakuwaje mtu unatoa pesa yako ama kiwanja chako na kumpatia TAPELI ama hujui maana na neno TAPELI. Nyalandu ni mmoja wa matapeli waliokubuhu, huyu ni smart kama Lowasa, ameisoma alama ya wakati na kutumia akili yake ya UTAPELI aliyopewa na MUngu amegundua ni mahali pamoja tu akienda kitengo cha Propaganda cha chama kitamsafisha ni CHADEMA na siyo mahala pengine popote. Kishajua moto unamnyemelea kule katika vitalu alivyoviuza, huyu si mjinga kabisa ni very smart kama ulivyosema. Lakini uzuri ni kwamba kwapata watu ambao siyo smart na easy kutapeliwa kama baadhi ya wafuasi wa CHADEMA hapa JF ambapo tunadai kuna Ma Great Thinker... LOool
 
Dogo umekomaa kweli na CHADEMA upo zamu??
Lakini Shonza alikomaa hivi hivi leo ni waziri, chemka!!
Hoja zenu hazina mashiko mkuu!
Mtu kutoka ndani ya ccm sio kwamba ndio anakua msafi ilhali alikua na kashfa flan..kumtetea na kumuona shujaa na mzalendo kama upinzani wanavyofanya kwa nape kumuita shujaa na mzalendo na sasa hatimaye nyalandu ni jambo la kujitafakari kama kweli tunataka upinzani ulio dhabiti na kuweza kutuletea mfumo mwingine wa kiutawala na sio kutumia wale wale walioonja tamu na janja janja ya uongozi kwenye chama tawala.
 
Siku zote mapatapeli ni smart ndiyo maana wanawarubuni watu na akili zao. Sasa kama ulimkubali basi na wewe ni Muhanga wa utapeli. Hivi inakuwaje mtu unatoa pesa yako ama kiwanja chako na kumpatia TAPELI ama hujui maana na neno TAPELI. Nyalandu ni mmoja wa matapeli waliokubuhu, huyu ni smart kama Lowasa, ameisoma alama ya wakati na kutumia akili yake ya UTAPELI aliyopewa na MUngu amegundua ni mahali pamoja tu akienda kitengo cha Propaganda cha chama kitamsafisha ni CHADEMA na siyo mahala pengine popote. Kishajua moto unamnyemelea kule katika vitalu alivyoviuza, huyu si mjinga kabisa ni very smart kama ulivyosema. Lakini uzuri ni kwamba kwapata watu ambao siyo smart na easy kutapeliwa kama baadhi ya wafuasi wa CHADEMA hapa JF ambapo tunadai kuna Ma Great Thinker... LOool
Kwani huko CHADEMA ndiko kunafuta tuhuma zake au kunawazuia ninyi kumshtaki?
Poor thinker
 
Pambaneni na hali zenu kwani mshamaliza kujenga viwanda? ?
Hapa kuna hoja ya nyalandu, subiri ikija thread inayohusu sector ya viwanda!
Kumbe mkiambiwa ukweli huwa mnaishiwa hoja kiasi hiki
Je nyalandu kuhama ccm ndio kawa msafi na kashfa zake? Na kaja kuwa mzalendo na shujaa wa kweli kwa upinzani??.
 
Kwani huko CHADEMA ndiko kunafuta tuhuma zake au kunawazuia ninyi kumshtaki?
Poor thinker
Ni vigumu kukuelimisha maana wanaweza kuelemishwa ni wajinga lakini wewe nadhani si mjinga ila naomba usinelewe vibaya wewe ni mmoja wa tunaowaita wapumbavu maana unajua kabisa unachokiuliza na nini mimi nimekizungumza lakini kwasababu zako binafsi unanirudisha mimi kule nilikojibu. Mimi siyo CCM wala CDM. Tangu vyama vingi viingie nchini nimekua Mfuasi wa NCCR mpaka pale kilipojibadili kuwa chama nikaachana na siasa za vyama. Maana nilijua mimi si mpumbavu ila ni mjinga. Nilijua kuwa vyama hivi vya upinzani havitafika kokote. Na nilikua nasema ukweli ni miaka zaidi ya 20 hakuna majority katika upinzani. Kwanini nilijitoa kujiunga na NCCR- Mageuzi, sababu kubwa ni kwamba NCCR haikuwa chama bali lilikuwa daraja tulilolianzisha la kutuletea katiba mpya kabla ya kuchaguzi mkuu. Lakini kumbe watu mapandikizi katika upinzani kutoka CCM, walifanya upinzani uwe ccm B. Unawajua staki kuwataja, ni Mtikila pekee yake alikua mpinzani wa kweli lakini waliobaki hawana tofauti na kina Nyalandu ni wapiga deal tu. Muanzilishi wa CHADEMA mzee Mtei ni mmoja wa wapida deal wakubwa, aliiba katiba ya NCCR na kuanzisha CHADEMA na kujimilikisha kama chama cha familia halafu ninyi na akili zenu manaona hiki ni chama cha kuchukua nchi.

Kalaga bahooooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom