Mbunge Wa Rorya: Okambo Lameck Airo CV

Alianza kwa wizi wa funguo kwenye mahoteli, guest houses,..., sasa anamiliki miradi mingi tu na anaaminiwa sana na mabenki yetu.
 
Mimi nadhani pesa ndio zilimfanya akashinda uchaguzi katika jimbo lake na sikitu kingine ila yote kwa yote kwa elimu yake hasa ya ujasiliamali(entrepreneurship) kwa kufanya maana yeye haongei anatenda moja ya sifa kuu ya mjasiliamali ni kama hiyo ya mh.Airo Okambo,kwa ushauri wangu ni bora akarudi kusimamia biashara zake tu kuliko kujiingiza katika siasa maana inaweza kumgharimu hapo baadae hasa siasa za makundi ndani ya chama chake na kuhusu biashara zake naweza kukubaliana na mchangiaji mmoja aliyesema kuwa mafanikio yake yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na uwepo wa Prof.Sarungi wakati huo akiwa waziri wa ulinzi maana tenda za jeshini wadau sio mchezo ukipata mbili tu ww sio mwenzetu tena maisha yako yanabadirika jumla hivyo inawezekana kukawa na mkono wa Prof katika biashara za mh Airo.
 
Jamani you must be joking- una maana baada ya 1981 hakuendelea na elimu yoyote zaidi primary school? anakaa bungeni na wakina Pinda, Pro Mwakyusa, Lissu, Matomato, Komba. Naona kama umekosea vile?
 
Hilo liko wazi kama huna mawe kuapata uongozi CCM ni kitendawili wao suala na shule kwao sio shida hata kidogo.
 
Wenye akili hawana mali,we mali hawana akili-by Mh.Temba
 
jamaa kweli kaulamba..hata katika historia ya Rorya naye atakumbukwa kwa mchango wake katika maendeleo au uharibifu katika jimbo la rorya...
 
Jamani you must be joking- una maana baada ya 1981 hakuendelea na elimu yoyote zaidi primary school? anakaa bungeni na wakina Pinda, Pro Mwakyusa, Lissu, Matomato, Komba. Naona kama umekosea vile?
There is no joking here,Loooooh! tena anaweza akateuliwa kuwa mjumbe katika kamati ya mambo ya nje huyu sasa sijui atatusemea nini huko nje ya nchi tena natumaini huyu 'Maimuna'
 
Mkuu hii inataia uchungu hao ndio watu wanakaa Dodoma bungeni kujadili maisha ya Watanzania million arobaini na ushee, wakilipwa zaidi ya milion kumi na zaidi!!!! Madaktari wakidai walipwe million tatu wanataka kuuwawa kama Dr Uli, kweli serikali hii hawana aibu hasa Raisi wetu!!!!!

 
uzoefu bila ujuzi ni uchuro. hivi karne mpya na akina lameck airo tutafika kwa kasi ya magufuli hii?
 
kinachomweka mjini ni pesa zake tu la sivyo angeusikia redioni. halafu kwa hela yake, ubunge kwake sio ajira, ila ni heshima na mbinu ya kufanya magendo.

Amemharibia Owawa tu
 
Ahaaaaa ni kama cv ya mbunge feki wa nyamagana mabula aliyeingia bubgeni kunusa harufu ya bungeni soon kiti atamwachia wenje!!!
 
Analipa kodi?? Mana nasikia kasema Rais anavuruga chama huyu anatakiwa alipe kodi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom