Mbunge Wa Rorya: Okambo Lameck Airo CV

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Katika kampeni za 2010, huyu mh. alijinadi kwa kugawa rushwa balaa
akisema " Lasaba hoyee" " Lasaba Hoyeee"...........

Member of Parliament CV

GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
1666.jpg

First Name:
Lameck
Middle Name:
Airo
Last Name:
Okambo
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Rorya
Political Party:
CCM
Office Location:
Box 594, Mwanza
Office Phone:
+255 784 444305/+255 684 005000/+255 777 444305
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
lokambo@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
28 October 1966
EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Nyanduga Primary School
Primary Education
1975
1981
PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania
Member - Rorya Constituency
2010
2015
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
UVCCM - Commander (Councillor)
1994
 
Cha ajabu ni tajiri wa kutupa pale Rock city,wassomi hawana hela(acheni mungu aitwe mungu)yeye la saba kamuangusha Proffesor Sarungi,ama kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa
 
Hivi huyu jamaa huwa anazielewa kweli randama za bungeni?!
 
Afadhali ya huyu au ambao hawakutumia misuli kuonyesha elimu yao ni ya uzamili na uzamivu wakati hakuna ukweli.I do respect them for being Honest on this!
 
Cha ajabu ni tajiri wa kutupa pale Rock city,wassomi hawana hela(acheni mungu aitwe mungu)yeye la saba kamuangusha Proffesor Sarungi,ama kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa

Ni mtu wa Sarungi, Utajiri alionao umetokana na Sarungi alipokuwa waziri wa ulinzi ndie aliempa tenda kibao jeshini. Inawezekana katika izo biashara Sarungi nae yumo, Inawezekana Airo ni msimamizi. Ndio mikakati ikafanyika ili Airo ndio agombee ubunge kutoka chama cha ccMafisi. Kulinda mbunge wa Rorya atoke Utegi, mrithi wa Sarungi sio vijiji vingine. Kama utakumbuka kulitokea mgongano mkubwa wa kutaka wilaya iwe Utegi badala ya Shirati, wakati Utegi na Tarime ni kama km 20 tu. Matokeo yake wakapanga na liwalo na liwe bora wakose wote yani Utegi na Shirati ili wilaya iwe Ingri Juu, ambapo hakuna jengo hata moja. Ndio inatakiwa serikali ijenge ofisi, hospitali nk. Hakuna chochote katika katika wilaya mpya iliyoanzishwa na ccMafisi hapo Ingri
 
Huyu naye ni mtunga sheria ama mgonga meza bungeni na kuongeza kelele za ndiyoooooooooo
 
hee!hakyamungu tumekwisha,hivi jamani tunapopiga kura kuna haja ya kuhoji uwezo na elimu ya mtu???
 
Afadhali ya huyu au ambao hawakutumia misuli kuonyesha elimu yao ni ya uzamili na uzamivu wakati hakuna ukweli.I do respect them for being Honest on this!

Nakubaliana na wewe kabisa, he's has been honest,
lakini kazi ya kutunga sheria na kuisimamia serikali
inahitaji elimu zaidi kuliko uzoefu wa kibiashara...
 
Hii Cv atapata kazi popote

LAMECK AIRO, anajulikana kwa jina la LA KAIRO huku kanda ya ziwa. ni mjaluo mwenye noti za kutosha, ambaye ili kulinda kazi zake aliamua kuingia kwenye siasa.

Hapa mwanza vitegauchumi vyake vikubwa viko ILEMELA maeneo ya mwaloni na KIRUMBA.

Anamiliki boti nyingi za uvuvi, ana magodown mengi ya kutosha na hivi karibuni ameamua kwajengea POLICE MWANZA nyumba za kuishi, hijajulikana atajenga ngapi lakini si chini ya nyumba 20

kabla na wakati wa kampeni, yeye alikuwa haongei maneno, alikuwa anasema, waliosoma wamewasaidia nini? nichagueni mimi niwafanyie mambo. kila kinacchohitaji wananchi kuchanga pesa, yeye anachangia. miradi ya shule, zahanati, amejenga kwa kutumia fedha zake, ndio sababu walimkubali kwa mambo anayowafanyia wakampa ubunge, lakini bungeni hana msaada.

KIFUPI, NI MIONGONI MWA MABILIONEA WA KITANZANIA. AMEAJIRI WATU SI CHINI YA 2,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom