Elections 2010 Mbunge wa Rorya - Mara

Afadhali uwahi maana huyo Airo ameshinda Ubunge kwa mapesa yake tu sidhani kama anao uwezo. Infact sina imani kama kweli amegombea U bunge kwa maslahai ya Wana Rorya.

Probably right, jamaa pia hawezi kujieleza. Kuna kamanda mmoja wa huko alinichekesha, anadai kuwa nusu ya hotuba zake za kampeni zimejaa maneno CCM oyee.

"Nitaleta visima, CCM oyee", "Nitawasaidia kutatua matatizo, CCM oyee", "Wapinzani hawana hoja, CCM oyee", "Mnipigie mimi kura, CCM oyee" halafu tutasaidiana, CCM oyee" ...... and stuff like that - cheap!!
 
Mkuu unataka tupambane? Ngoja nianze kukusanya laptop kwa wapiga kura

Rev;

Kyela mwaka 2015 wana CCM "watavuana nguo"kwenye kura za maoni maana nina uhakika kabisa kuwa walioshindwa wote mwaka huu na Dr Mwakembe watarudi tena hasa ilipojulikana kuwa Dr Mwakyembe kasema HATAGOMBEA!

Tunawakaribisha sana Kyela na watanyolewa vibaya sana maana Kyela ni moja kati ya majimbo yenye msimamo sana hasa kwa watu wanaofika Kyela kipindi cha kutafuta uongozi tu;wakigombea hawa walioshindwa na Mwakembe na mmoja wao akipitishwa itakuwa rahisi mno kwangu kuwanyuka na huenda hata nisifanye kampeni za nguvu!

Mpinzani wangu wa ukweli atakuwa ni kijana diwani wa Kyela-Mjini(kama ataamua kugombea na CCM watampitisha)maana yeye pia ni mkazi wa kudumu wa Kyela;lkn kwa mikakati ya timu yangu ya kampeni hata yeye akigombea atachapwa tu ingawaje ataambulia baadhi ya kata kama vile kwao Mpunguti!

Hawa wengine wakija tutawauliza "mwee!mwalikugu amasiku bhosa umwe "?
 
Probably right, jamaa pia hawezi kujieleza. Kuna kamanda mmoja wa huko alinichekesha, anadai kuwa nusu ya hotuba zake za kampeni zimejaa maneno CCM oyee.

"Nitaleta visima, CCM oyee", "Nitawasaidia kutatua matatizo, CCM oyee", "Wapinzani hawana hoja, CCM oyee", "Mnipigie mimi kura, CCM oyee" halafu tutasaidiana, CCM oyee" ...... and stuff like that - cheap!!

Huyu Bwana Lameck nilishawahi kumshuhudia akifanya kampenike za maeneo ya Ingiri Chini alinishangaza sana
...alifika akasema..."yeyote kama ana mgonjwa anyooshe mkono...asihofu..nitaleta ambulance...tutampeleka hospital Tarime" CCM Oyee..huwezi kuamini kama ni mtu mwenye akili timamu...Lakini kwa habari nilizozipata Rorya huyu mtu ana umafioso flani akishirikiana na wenzake wawili..Ochelle na Obeto ni vinara wa ukwepaji ushuru..wizi wa magari ingawa source zingine zinasema walishaacha na pia ni wakwepaji wakubwa wa kodi..na kuna kipindi waliliteka baraza la madiwani wa Rorya likawa kama mali yao binafsi..HILI NI JIMBO AMBALO LAZIMA CHADEMA ITALINYAKUA 2015.
 
Nilikwisha tangaza wiki 2 zilizopita kuwa nitagombea Ubunge wa Jimbo la Kyela mwaka 2015 kupitia CHADEMA,mikakati imeanza sasa ya "take back our Kyela";mapema tu mwakani nitawaita waandishi wa habari wana JF kijijini kwangu Talatala kuzindua "manifesto"yangu!

Tukianza MICHAKATO mapema kwa kila jimbo CCM itang'oka!

Zamu ya Mtanzania 2015! tuwe na huruma sasa
 
Back
Top Bottom