Mbunge wa Ngorongoro aachiwa huru. Asema aligoma kula kwa siku tatu

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,568
Hivi wanyama wa aina moja wanaweza kulana wao kwa wao
Fisi
Screenshots_2023-08-24-05-37-30.jpg
7d14cec00365fc11728920ab1faeb60d.jpg
 
Polisi imekuwa ya hovyo kuliko wakati wowote. Culture ya kuteka watu imekuwa kama Kula nyama ya watu. Mpaka press zifanyike ndo wanaachia watu.pfuuuu natamani wawapeleke nje hawa viongozi wao waone polisi zingine zinavyoheshimu sheria
Ni zamu yao wenyewe CCM kuumizana kwa kutumia vyombo vya dola baada ya kuwaumiza wakinzani wao.Kuteswa kwa zamu.Watajuana wenyewe.
 

MBUNGE wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ambaye alikuwa anashikiliwa na Polisi mkoani Arusha ameachiwa kwa dhamana usiku wa leo Jumatano Agosti 23, 2023.

Akizungumza baada ya kuachiwa Ole Shangai amesema kwa siku tatu tangu alipokamatwa aligoma kula.

Pia Soma:

Usizubae unaweza ukajikuta umechanganywa na pilau.
 
Polisi ikiwa kama unavyotaka nchi itaharibika vibaya.
KUNA mtindo umeanza kuenea Tanzania wahalifu wanataka waogopwe baadhi ya watu wanapenda wawe juu ya sharia utasikia Mimi siogopi chochote! Sawa usiogope chochote lakini usivunje sheria za nchi.Polisi wamekuwa kikwazo kwa wahalifu na wahalifu wanapenda waheshimiwe na kunyenyekewa jambo ambalo halipo katika nchi yoyote Duniani.Haki yako inaishia pale unapoanza kuingilia haki ya wengine.
 
Back
Top Bottom