Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe ajivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga CCM

Huku ni watu kupoteza usingizi wao na kupanga mistari siku ya kupiga kura, let alone kodi za wananchi zinazotumika kuwachagua watu kama hawa...
 
Kwanini ulikuwa mpinzani wa chama tawala?
Sababu ipi inakufanya kurudi chama tawala?
kwanini Upinzani upo na chama tawala kipo?
Kwanini unakipenda chama tawala?
 
Informer,
Ameona alishindwa kuangusha mbuyu kwa shoka moja, akaona akimbie tu maana alitaka kuonya sumu.
 
Mbunge wa Ndanda (Chadema), Cecil Mwambe leo Februari 15, 2020 amejiuzulu nafasi hiyo na kutangaza kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM). Dalili ya kuondoka alishaionyesha tangu siku nyingi aondoke salama
Kwanini CHADEMA hawakumtumbua!?
 
Tume itatangaza uchaguzi mdogo tena?

Hii nchi umasikini hautaisha. Nchi masikini kama zetu hatuwezi kamwe kutoka kwenye ile vicious circle of poverty kwa sababu ya matuzimi mengi ya pesa za umma kwenda kwenye ujinga.

Alafu utasikia tunabana matumizi.
 
Back
Top Bottom