Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi asifiwa kwa kuleta maendeleo jimboni

Mh! Sijui kama kweli kuna shule iliyo na computer toka kwa sugu. Labda unipe mfano wa shule zilizopatiwa computer na Sugu
 
Mh! Sijui kama kweli kuna shule iliyo na computer toka kwa sugu. Labda unipe mfano wa shule zilizopatiwa computer na Sugu

Zipo shule nyingi tu pale Mbeya, jamaa amekarabati madarasa na kuweka Computer hizo. Wanaosema Sugu ni Rais wa Mbeya hawaropoki tu hivihivi, wanavitu kadhaa vya kuwaonyesha.

Ukienda pale Mbeya ndo utaijua vizuri kazi ya Sugu. Barabara zinajengwa, Madaraja yanajengwa. Shule zinajengwa miundombinu mbalimbali inawekwa kila kitu mahala pake. Jiji linang'aa kila pembe ya mji, Miccm kuja na drama ya familia ya Sugu siyo hivihivi tu, wamebanwa kila pembe Sugu kawanyima pumzi, hawana la kusema.

Karibia Mbeya ujionee mwenyewe, usipende kusimuliwa. Please mwenye picha za Sugu akisambaza Computer mashuleni amuwekee huyu Thomaso hapa.. Maana kuna nyuzi kadhaa zipo hapa zikiwa na ushahidi uutakao.

BACK TANGANYIKA
 
acheni uongo amegawa shule ya mwakibete anatokea yeye na shule majengo tu lakn kuhuxu road hamna k2 muongo huyo
 
mwinukai

Ni ushabiki wa kisiasa tu Mbona wengine wamesema hajafanya kitu?
 
Last edited by a moderator:
Niko likizo hapa Green City mambo ni mazuri sana yaani sugu ni noma na nafikiri hata jiji kwa mara ya kwanza litaongozwa au kuundwa na halimashauri tukufu ya CHADEMA. Sugu moto chini.
 
acheni uongo amegawa shule ya mwakibete anatokea yeye na shule majengo tu lakn kuhuxu road hamna k2 muongo huyo

Yaani akili za wanaccm kunguni ananafuu..!!

We kiumbe sijui tukuiteje? Unapinga jambo halafu wakati huohuo unalikubali...!! Sasa we mtu tukuweke kundi gani..??

Sasa jibu awali moja kwa ufasaha. Sugu amegawa Computer Shuleni au hajagawa??

BACK TANGANYIKA
 
Zipo shule nyingi tu pale Mbeya, jamaa amekarabati madarasa na kuweka Computer hizo. Wanaosema Sugu ni Rais wa Mbeya hawaropoki tu hivihivi, wanavitu kadhaa vya kuwaonyesha.

Ukienda pale Mbeya ndo utaijua vizuri kazi ya Sugu. Barabara zinajengwa, Madaraja yanajengwa. Shule zinajengwa miundombinu mbalimbali inawekwa kila kitu mahala pake. Jiji linang'aa kila pembe ya mji, Miccm kuja na drama ya familia ya Sugu siyo hivihivi tu, wamebanwa kila pembe Sugu kawanyima pumzi, hawana la kusema.

Karibia Mbeya ujionee mwenyewe, usipende kusimuliwa. Please mwenye picha za Sugu akisambaza Computer mashuleni amuwekee huyu Thomaso hapa.. Maana kuna nyuzi kadhaa zipo hapa zikiwa na ushahidi uutakao.

BACK TANGANYIKA

Paragraph ya pili umeandika ukienda Mbeya ikionyesha wewe hauko Mbeya ndio umesema " Ukienda pale Mbeya". Lakini paragraph ya mwisho unaniambie nikaribie. Unaniambia nikaribie sehemu ambayo wewe haupo.

Back to topick, umeulizwa ni shule zipi hutaji. Umetajiwa shule ya mwakibete na Majengo. Na unajua alitoa Computer ngapi kwa kila shule?

Mimi niko Mbeya hivyo hupaswi kunikaribisha na kuandika propaganda. Sugu hamna kitu
 
Ngoja Sugu awekwe sahani moja na Mwandosya kwenye huo ubunge ndio utajua nani Rais wa Mbeya. Na Mwandosya awamu ijayo anagombea ubunge Mbeya mjini, hivyo Sugu ajiandae.
 
Back
Top Bottom