Mbunge wa Kawe, Josepat Gwajima atembelea Bunge la Japan

Mbunge wa Kawe. Asikofu Dr Josepat Gwajima. Ametembelea Bunge la Japan. Hapa akituma salaam kwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson.

Aidha Gwajima amepata mialiko kadhaa ya watu wa Tokyo kufika jimboni Kawe na kufanya mashirikiano rasmi ya kimikakati
View attachment 2374079

Acha longo longo bado tunasubiri ahadi ya kwenda USA 🇺🇸
Bado tunasubiri boat 🚣‍♀️ uvuvi
Bado tunasubiri ujenzi wa train 🚞 ya umeme.
 
Mbunge wa Kawe. Asikofu Dr Josepat Gwajima. Ametembelea Bunge la Japan. Hapa akituma salaam kwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson.

Aidha Gwajima amepata mialiko kadhaa ya watu wa Tokyo kufika jimboni Kawe na kufanya mashirikiano rasmi ya kimikakati
View attachment 2374079
Anatimiza lini ile ahadi yake ya kutupeleka sisi wana Kawe Birmingham na kujenga chuo cha uvuvi?
 
Mbunge wa Kawe. Asikofu Dr Josepat Gwajima. Ametembelea Bunge la Japan. Hapa akituma salaam kwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson.

Aidha Gwajima amepata mialiko kadhaa ya watu wa Tokyo kufika jimboni Kawe na kufanya mashirikiano rasmi ya kimikakati
View attachment 2374079
Lini huyu TAPELI atatuletea ile treni na kutupeleka Birmingham.....!
 
Mbunge wa Kawe. Asikofu Dr Josepat Gwajima. Ametembelea Bunge la Japan. Hapa akituma salaam kwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson.

Aidha Gwajima amepata mialiko kadhaa ya watu wa Tokyo kufika jimboni Kawe na kufanya mashirikiano rasmi ya kimikakati
View attachment 2374079
Jomba hii attachment nayo Mpaka wajapan waifungue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom