Mbunge wa jimbo la Rungwe Magharibi, Prof. David Mwakyusa pamoja na CCM presha juu

Nashukuru Bulesi; Sina fikra za kutafuta uongozi wa kisiasa na hata kama fikra zitabadilika, kwa fikra zangu, jina langu litakatwa mapema sana na wanalumumba kwani wanawaita watanzania wenye kuangalia zaidi maslahi ya taifa kwamba "sio wenzao";

Naamini kwamba njia za kusaidia kutetea wananchi zipo nyingi, sio lazima iwe kupitia nafasi ya uongozi;ni kwa njia hizo nitakuwa nyuma ya mgombea yoyote ambae wana rungwe watamwona anatosha bila ya kujalisha anatokea chama gani cha siasa;

Vinginevyo wana rungwe wameumizwa sana na siasa za ccm, wakifanya maamuzi ya kuachana nayo 2015, itakuwa ni haki yao;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Ni kweli kabisa kuwa iwapo utaomba ubunge kwa kupitia chama tawala jina lako litakatwa kwani hao jamaa wanawaogopa wasomi kuwa watawayumbisha na ndio maana nikakushauri kwamba in the event you have a change of heart and decide to run , you stand a better chance of winning through Chadema kwasababu ni chama cha wasomi na welewa wa mambo!!! Moreover ukiwa mgombea wa Chadema huna haja ya kutumia pesa ili uchaguliwe kama wafanyavyo huko ccm; ccm bila pesa hupiti hata ujumbe wa nyumba kumi!!!
 
Yetu macho na masikio bila kusahau mola akitujaadhi uhai tuje shuhudia HAYA 2015
 
Ni kweli kabisa kuwa iwapo utaomba ubunge kwa kupitia chama tawala jina lako litakatwa kwani hao jamaa wanawaogopa wasomi kuwa watawayumbisha na ndio maana nikakushauri kwamba in the event you have a change of heart and decide to run , you stand a better chance of winning through Chadema kwasababu ni chama cha wasomi na welewa wa mambo!!! Moreover ukiwa mgombea wa Chadema huna haja ya kutumia pesa ili uchaguliwe kama wafanyavyo huko ccm; ccm bila pesa hupiti hata ujumbe wa nyumba kumi!!!

Candidature ya Tundu Lissu, Aggrey Mwanri, Zitto, Mwandosya, Dr Slaa, Lowassa au Magufuli as presidential candidates, running mates au prospective prime ministers zinaweza nigeuza msimamo kwani nitabaini kwamba sasa tumeamua kuacha michezo michezo ya kisiasa na kuwa serious; Vinginevyo in my humble view, wengine wengi ni wababaishaji tu;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Napenda kuwadhibitishia wanajanvi kwamba thread iliyoandikwa humu na bwana tondoli kuhusu bwana oscar mwambene ni za kweli, mm naitwa oscar merere mwambene na ni mwenyeji wa kata ya ikuti iliyopo rungwe magharibi. Ni kweli bila kutafuna maneno ninadhamila ya kugombea ubunge jimbo la rungwe magharibi kama chama changu cha cdm kitapitisha jina langu. Nashukuru sana kwa maoni yenu. Mungu ibariki rungwe, mungu ibariki tanzania.
 
Acha kujifurahisha nyie, kushinda CDM kwenye majimbo haya ni sawa na Morgan Tsvangilai kushinda urais Zimbambwe, I think you know what I mean.Tena kwa wewe Mwambene kutoka Ikuti utarajie kushinda Tarafa ya Ukukwe tu, Busokelo, Tukuyu Mjini na Pakati hupati kitu. Although wewe ni mwana Rungwe Magharibi lakini kwa siasa za jimbo hilo tulalolijua fika, wewe kule unahesabika ni Muundali, huwezi pata kura kwa conservative, hardliners wa Kinyakyusa. Kamuulize brother Kasesela analijua sana hili. Kwa ushauri shirikiana na Kasesela muombe jimbo jipya kwa upande wa wenu huo mnaotokea, huko mtapata kura maeneo ya Kiwira, Ikuti kwenu, Maalika, Igogwe, Syukula, Ndaga, KK na mpaka Isyonje huko, ambako mwenzako Kasesera tayari kajenga mizizi. Kwa tunaojua siasa za Rungwe magharibi, mpaka sasa jimbo liko wazi ila kwa ushauri tu kwa Mwandosya msiguse, utapoteza fedha zako bure mwisho wa siku ufe kwa stress. Kwa jimbo la Rungwe mashariki, when you talk about Mwandosya, he is more than a person, he is instituiton himself

Copy this Mwambene, usije kusema hukupata ushauri,
 
acha kujifurahisha nyie, kushinda cdm kwenye majimbo haya ni sawa na morgan tsvangilai kushinda urais zimbambwe, i think you know what i mean.tena kwa wewe mwambene kutoka ikuti utarajie kushinda tarafa ya ukukwe tu, busokelo, tukuyu mjini na pakati hupati kitu. Although wewe ni mwana rungwe magharibi lakini kwa siasa za jimbo hilo tulalolijua fika, wewe kule unahesabika ni muundali, huwezi pata kura kwa conservative, hardliners wa kinyakyusa. Kamuulize brother kasesela analijua sana hili. Kwa ushauri shirikiana na kasesela muombe jimbo jipya kwa upande wa wenu huo mnaotokea, huko mtapata kura maeneo ya kiwira, ikuti kwenu, maalika, igogwe, syukula, ndaga, kk na mpaka isyonje huko, ambako mwenzako kasesera tayari kajenga mizizi. Kwa tunaojua siasa za rungwe magharibi, mpaka sasa jimbo liko wazi ila kwa ushauri tu kwa mwandosya msiguse, utapoteza fedha zako bure mwisho wa siku ufe kwa stress. Kwa jimbo la rungwe mashariki, when you talk about mwandosya, he is more than a person, he is instituiton himself

copy this mwambene, usije kusema hukupata ushauri,
nasikitika kukuambia kwamba mara nyingi sifuati ushauri wa watu ambao uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana kama wa kwako, mbaya zaidi wewe ni mtu unaye abudu watu badala ya mungu. Na mara nyingi hizo fikra kama za kwako lazima ww ni ccm aka gamba. Mwandosya kweli ni taasisi ya nyie maccm na si cdm. Subiria muda si mrefu utaona anguko kuu la ccm.
 
Usipanic brother, kwa mtindo huo hutafika mbali, soma between the lines kilichoandikwa, otherwise nakutakia mafanikio.
 
Usipanic brother, kwa mtindo huo hutafika mbali, soma between the lines kilichoandikwa, otherwise nakutakia mafanikio.

I have read ur stment btn lines, but i found ur nosense. Napenda nikwambie kwamba, ukiona mtu yoyote yupo chama kama chadema 90% ni mtu makini, chini ya hapo ujue ni masalia ya ccm kama wewe.
 
I have read ur stment btn lines, but i found ur nosense. Napenda nikwambie kwamba, ukiona mtu yoyote yupo chama kama chadema 90% ni mtu makini, chini ya hapo ujue ni masalia ya ccm kama wewe.
Mh.mtarajiwa Mwambene Oscar,sioni kwa nini una'vent',kumshambulia huyu mkuu jager master si sahihi,ungerudi critically na kupangua hoja zake moja baada ya nyingine,ni kweli chadema ni chama makini na kwa kwa mantiki hiyo ya umakini wa cdm sioni namna wanavyoweza kukupitisha kugombea huo ubunge unaoutaka,labda nimalizie kwa kukushauri kama kamanda mwenzako,nashauri uanze na udiwani ili ufahamike huko Rungwe.Huwezi kubeza nguvu za Mwandosya kwenye jimbo lote la Rungwe hata lisingegawanywa.Kwa hiyo ni lazima tupate mtu ambaye ataweza kwelikweli kuona halisi nakukusanya nguvu inayohitajika kufutilia mbali usultan wa akina Mwandosya,sasa kwa namna ulivyokuja hapa simuoni huyo mtu ndani yako.Haupo makini kivile kamanda watu,am not careful to say this anyway.
 
Oscar, Hongera sana kwa uamuzi huu... wasiliana na viongozi. Chama kinahitaji wagombea mapema. JF haipitishi wagombea. Hapa usivunjike moyo, pokea maoni kisha usonge mbele!...
 
Acha kujifurahisha nyie, kushinda CDM kwenye majimbo haya ni sawa na Morgan Tsvangilai kushinda urais Zimbambwe, I think you know what I mean.

Kwa tunaojua siasa za Rungwe magharibi, mpaka sasa jimbo liko wazi ila kwa ushauri tu kwa Mwandosya msiguse, utapoteza fedha zako bure mwisho wa siku ufe kwa stress. Kwa jimbo la Rungwe mashariki, when you talk about Mwandosya, he is more than a person, he is instituiton himself

Huwezi kubeza nguvu za Mwandosya kwenye jimbo lote la Rungwe hata lisingegawanywa.Kwa hiyo ni lazima tupate mtu ambaye ataweza kwelikweli kuona halisi nakukusanya nguvu inayohitajika kufutilia mbali usultan wa akina Mwandosya,sasa kwa namna ulivyokuja hapa simuoni huyo mtu ndani yako.Haupo makini kivile kamanda watu,am not careful to say this anyway.

Siasa zingekuwa hivyo basi Wafalme wangeitawala DUNIA, SIBEZI nguvu ya MWANDOSYA, lakini siamini kwamba kuna mtu ambaye hang'oki madarakani.. Subiri kazi ya ujenzi wa chama inayoendelea RUNGWE. Tutaendelea kupeana taarifa hapa hapa.
 
I am sure Mwandosya at this moment is concerned more about his health than posturing for ubunge. If he genuinely likes his constituents he will not run because he will not be able to serve them optimally whether in a new constituency in Busokelo or Rungwe East! Also remember that institutions also fall.!! Overconfidence has its perils.
 
Candidature ya Tundu Lissu, Aggrey Mwanri, Zitto, Mwandosya, Dr Slaa, Lowassa au Magufuli as presidential candidates, running mates au prospective prime ministers zinaweza nigeuza msimamo kwani nitabaini kwamba sasa tumeamua kuacha michezo michezo ya kisiasa na kuwa serious; Vinginevyo in my humble view, wengine wengi ni wababaishaji tu;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Your preference of presidential candidates leaves me dazzled!!! Sijui umetumia vigezo gani kwani hata watu corrupt wewe unaona wanafaa kuongoza nchi?
 
Oscar, Hongera sana kwa uamuzi huu... wasiliana na viongozi. Chama kinahitaji wagombea mapema. JF haipitishi wagombea. Hapa usivunjike moyo, pokea maoni kisha usonge mbele!...

Asante mkuu wangu, nitawatafuta nina kazi ya kufanya kuhusu kuimarisha chama na siwezi kufanya hivyo bila baraka za viongozi wangu wa chama. God bless u all.
 
Jimbo la Rungwe sio rahisi kama watu wanavyotaka kuonyesha hapa.

Bila kuonyesha mapema kwamba ni mpenda maendeleo, Rungwe hawawezi kukupa ubunge hata utoke chama gani.

Hao wazee wamefanya kazi zao na sasa vijana jipangeni Kwa ajenda ya maendeleo.
 
Your preference of presidential candidates leaves me dazzled!!! Sijui umetumia vigezo gani kwani hata watu corrupt wewe unaona wanafaa kuongoza nchi?

I believe in Katiba Mpya, ikiweza kudhibiti upuuzi upuuzi, kwa mtazamo wangu hao juu wote wanaweza kuwa viongozi wazuri; Kigezo changu kikubwa ni mtu aliyeweza demonstrate leadership ability in his/her political career, hasa utendaji;

Nimekuwa nasita sana kurukia boti la wapinga viongozi fulani fulani kwa hoja ya ufisadi kwani ufisadi is a relative concept, hatuna nyerere mwingine tena, unfortunately; The root-cause of corruption in Tanzania isn't CCM per se bali culture, traditional ties and african bureucratization; Bila ya reforms za maana, Ikulu ya CCM, Chadema, zote zitakuwa corrupt tu;

Hata katika demokrasia zilizoendelea zaidi, viongozi wengi wana hulka na pia tamaa ya kufisadi lakini katiba na pia sheria za nchi ndio zinawazuia; tunahitaji kuwekeza zaidi huko, kwani hivyo ndivyo tutapata viongozi bora na sio bora viongozi;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
i believe in katiba mpya, ikiweza kudhibiti upuuzi upuuzi, kwa mtazamo wangu hao juu wote wanaweza kuwa viongozi wazuri; kigezo changu kikubwa ni mtu aliyeweza demonstrate leadership ability in his/her political career, hasa utendaji;

nimekuwa nasita sana kurukia boti la wapinga viongozi fulani fulani kwa hoja ya ufisadi kwani ufisadi is a relative concept, hatuna nyerere mwingine tena, unfortunately; the root-cause of corruption in tanzania isn't ccm per se bali culture, traditional ties and african bureucratization; bila ya reforms za maana, ikulu ya ccm, chadema, zote zitakuwa corrupt tu;

hata katika demokrasia zilizoendelea zaidi, viongozi wengi wana hulka na pia tamaa ya kufisadi lakini katiba na pia sheria za nchi ndio zinawazuia; tunahitaji kuwekeza zaidi huko, kwani hivyo ndivyo tutapata viongozi bora na sio bora viongozi;

sent from my blackberry 8520 using jamiiforums

kaka unachosema ni kweli kwamba nyerere hayupo ndio maana ufisadi umeshamiri, lakini kumbuka nyerere alikuwa anatumia katiba hii ambayo hata viongozi wa sasa wanatumia na aliweza kudhibiti ufisadi kwa kiasi kikubwa.

Kinachosumbua nchi yetu kwasasa ni kwamba viongozi wengi waliopo madarakani(ccm) wote ni wezi ndio maana inawawia vigumu kuchukuliana hatua kali.

Ukiona kiongozi yoyote au mtu yoyote kwa sasa hivi anaomba madaraka na madaraka yenyewe anataka ayapate kwa kupitia ccm, utambue kwamba huyu mtu hana upendo na watanzania wenzake, ni mwizi na ni kaburu.

Mkoa wa mbeya unasifika kwa kuwa na watu wenye misimamo mikali juu ya rasilimali za nchi hii, na baadhi ya wazee wetu ambao ni viongozi serikalini wamejaribu kuonyesha misimamo hiyo na kwishia kulishwa sumu, lkn bado wapo ndani ya ccm. Swali ni kwamba wanangoja nn kuihama ccm? Wanatufundisha nn vijana wao? Jibu ni moja tu hao nao ni walewale.
Kuna mmoja amejaribu kumsifia richard kasesela kwamba anaweza kauwa mtu mzuri na natambua kasesela alichakachuliwa ndani ya ccm kwenye kura za maoni, lkn bado yupo ccm, anafanya nn huko? Kama mfumo wenyewe ndio huo, na yeye ndio walewale.

Tunachotaka cc kama chadema ni kumpata kiongozi wa nchi(rais) ambaye ni msafi na mwenye maono ya mbali(100yrs to come), hata akisimama na kukemea walio chini yake kila mtu ataheshimu kauli yake na kuitii, sio kama sasa hivi rais wa nchi anakili mbele ya wananchi kwamba anawafahamu wezi wa mali ya umma lkn hakuna hatua yoyote aliyochukua. Nakubaliana na maoni ya watu kwamba tusiwatukane ila lazima waondoke kwakuwa wameshindwa kuonyesha upendo kwa kizazi hiki na kijacho.
 
Back
Top Bottom