Mbunge wa Geita yupo wapi?

Godwin Mneng'ene

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
215
84
Wana jf nisaidieni kwa hili nimepata tetesi kwamba mbunge wa geita mjini mhe donald max eti amesimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge kwa makosa ya kumshika makalio muhudumu wa bunge wakati vikao vikiwa vinaendelea. Kwa wenye uhakika wa hii tetesi please more info
 
Back
Top Bottom