Mbunge wa CCM Shinyanga mjini kutinga mahakamani

MITIMIREFU

Member
Nov 7, 2011
7
4
katika hali isiyokuwa ya kawaida leo katika ofisi za mbunge wa jimbo hili kwa tiketi ya ccm mh Masele amepokea samasi ya kuitwa mahakama kwa ajili ya matokeo ya ubunge.

hali imetokea baada ya aliyekuwa akishitakiana nae kufari mh Shelembi na sasa kesi hiyo imeamua kufunguliwa upya nawapiga kura wa manispaa ya shinyanga kesi itafanyika mkoani Tabora hivi karibuni
 
Mzee unanichanganya, mbunge wa shinyanga , kesi inaenda kufanyika Tabora????????????????
 
tabora ndo mahakama kuu ya kanda ya magharibi iliko yawezekana akawa sahihi
 
Abanamhala baamulile loloo!!! badondakaga o-ngw'eshimiwa o magamba!!!!!! agwepandeeka na gweibona eeh nguzu ya batoji ba-kura.
 
bamanela o guba kura, bagwesoma namba. Abasukuma dolemiso gete.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida leo katika ofisi za mbunge wa jimbo hili kwa tiketi ya ccm mh Masele amepokea samasi ya kuitwa mahakama kwa ajili ya matokeo ya ubunge.
hali imetokea baada ya aliyekuwa akishitakiana nae kufari mh Shelembi na sasa kesi hiyo imeamua kufunguliwa upya nawapiga kura wa manispaa ya shinyanga kesi itafanyika mkoani Tabora hivi karibuni
Ogwenoyo no mhayo.akoisoma e namba mshisukuma nsajinsaji hoyo
 
Mbona mnachangia kwa lugha tusizofahamu? Haya ngoja nichangie " ekyo ekibunge kya ccm nangu bakitele ebiboko mpaka kinyampe ebinyampo. Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom