Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!

Wanabodi,

Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio la ushajaa mkubwa katika medani za siasa.

Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya mbunge huyu, naomba nikiache kwanza kama tetesi, na nikisha thibitisha, nitarejea kuwapatia ushujaa huo wa Mhe. Esta Bulaya!.

Kwa kusaidia tuu, ni kuwa mbunge huyu, amefanya kitendo fulani cha kishujaa kwa kuweka mbele maslahi ya taifa ambapo amesimama kuhesabiwa miongini mwa wabunge wachache wa CCM wenye uchungu wa ukweli na umasikini wa nchi hii, kinyume cha wengi wa wabunge wa CCM ambao wameingia bungeni kwa drive ya njaa zao kutafuta maslahi binafsi badala ya maslahi ya taifa, hivyo wanachosimamia mule bungeni, ni matumbo yao tuu!.

Natafuta uthibitisho wa huo ushujaa wa Mhe. Esta Bulaya, ili tuliingize rasmi jina lake miongoni mwa mashujaa wa taifa hili!.

Tuvute subira kidogo!.

Wasalaam.

Pasco.

Dodoma!.

Kabla ya huo ushujaa, Mhe. Ester Bulaya aliripotiwa hivi humu jf

[h=2]"Re: Godfrey Zambi na Ester Bulaya bungeni waitabiria CCM yao kuanguka mwaka 2015"[/h]

ungebaki na tetesi yako mpaka uthibitishe ndo ulete humu ndo tungekuona mjanja
 
nasikia hasira na hawa magamba!!! rais msanii hadi balozi wa nyumba kumi!!! sasa hii pumba ya nn? aka kabinti nako kafaa kuitwa mh!!! mleta mada ni mrevi tu.
 
Again same mistake, judging people according to how long wamekuwa jamvini and not the contents za kipi kimeandikwa.., Naomba uniambie nini maana ya news alert, na kama hicho alichoweka Pasco sio news alert (tukae mkao wa kula); yeye yupo Dom na amesikia watu wanaongelea jambo ambalo anachunguza mpaka hapo atakapopata habari zaidi..,

Unafahamu maana ya 1st April!!??....
 
Unafahamu maana ya 1st April!!??....
Haya sasa hivi kati yako wewe na Pasco ni nani hapa yupo off topic; hivi hapa tunajadili ushujaa wa Ester Bulaya, Habari ya Pasco, Mimi au maana ya 1st of April; mkuu nadhani kuliko kuendelea kujaza hii post na hizi Pumba bora tungojee hicho atakacholeta Pasco (kama kipo au hakipo ili tuendelee kujadili), Haya yote mengine hayamsaidii mtu zaidi ya kujaza server
 
Again same mistake, judging people according to how long wamekuwa jamvini and not the contents za kipi kimeandikwa.., Naomba uniambie nini maana ya news alert, na kama hicho alichoweka Pasco sio news alert (tukae mkao wa kula); yeye yupo Dom na amesikia watu wanaongelea jambo ambalo anachunguza mpaka hapo atakapopata habari zaidi..,

Sasa kwanini asipewe benefit of doubt mpaka pale atakapoleta hio habari (na kama habari ikigeuka kuwa bogus, tatizo ni nini, he tried kutujulisha na sio kwamba analipwa au unalazimishwa kusoma kila anacholeta Pasco) Ni habari ngapi zimeletwa humu zikageuka kuwa non starter (JF inakuwa the first kupata news sababu ya hizi tetesi) ukingoja mpaka upate kila kitu utakuwa unapata Yesterdays News which is todays Rubbish
Kama alikuwa hajajiandaa kulikuwa na ulazima gani wa kuanzisha thread? kama si ushamba ni nini, na wewe unayemtetea nafikiri humjui Pasco au kwa vile umejiunga juzi siku ya wajinga.
 
Haya sasa hivi kati yako wewe na Pasco ni nani hapa yupo off topic; hivi hapa tunajadili ushujaa wa Ester Bulaya, Habari ya Pasco, Mimi au maana ya 1st of April; mkuu nadhani kuliko kuendelea kujaza hii post na hizi Pumba bora tungojee hicho atakacholeta Pasco (kama kipo au hakipo ili tuendelee kujadili), Haya yote mengine hayamsaidii mtu zaidi ya kujaza server
Anayejaza server ni rafiki yako unayemtetea aliyeanzisha hearsay thread na kutokomea, hivi mimi nikianzisha Kikwete shujaa anataka kujiuzulu subirini, utawashauri watu wasubiri hadi lini kwa akili yako.
 
ni mmoja wa wabunge wa ccm waliosaini na kukataaa jina lake kutajwa katika ile orodha hadharani
 
Wanabodi,

Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio la ushajaa mkubwa katika medani za siasa.

Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya mbunge huyu, naomba nikiache kwanza kama tetesi, na nikisha thibitisha, nitarejea kuwapatia ushujaa huo wa Mhe. Esta Bulaya!.

Kwa kusaidia tuu, ni kuwa mbunge huyu, amefanya kitendo fulani cha kishujaa kwa kuweka mbele maslahi ya taifa ambapo amesimama kuhesabiwa miongini mwa wabunge wachache wa CCM wenye uchungu wa ukweli na umasikini wa nchi hii, kinyume cha wengi wa wabunge wa CCM ambao wameingia bungeni kwa drive ya njaa zao kutafuta maslahi binafsi badala ya maslahi ya taifa, hivyo wanachosimamia mule bungeni, ni matumbo yao tuu!.

Natafuta uthibitisho wa huo ushujaa wa Mhe. Esta Bulaya, ili tuliingize rasmi jina lake miongoni mwa mashujaa wa taifa hili!.

Tuvute subira kidogo!.

Wasalaam.

Pasco.

Dodoma!.

Kabla ya huo ushujaa, Mhe. Ester Bulaya aliripotiwa hivi humu jf

"Re: Godfrey Zambi na Ester Bulaya bungeni waitabiria CCM yao kuanguka mwaka 2015"
Je kaweka jina na saini yake kwenye orodha ya kutokuwa na imani na Pinda,kama hajafanya hivyo hana cha maana,kwani atakuwa anatetea chama cha wezi badala ya kuwatetea wananchi
 
ni mmoja wa wabunge wa ccm waliosaini na kukataaa jina lake kutajwa katika ile orodha hadharani
Sawa, lakini kuna thread nyingi tu za majina hayo Pasco angechangia kule, kama kila mbunge wa CCM anayejiorozesha au anyenuia kujiorozesha anaanzishiwa thread yake basi tutakuwa na thread nyingi sana especially hizi za hearsay.
 
Anayejaza server ni rafiki yako unayemtetea aliyeanzisha hearsay thread na kutokomea, hivi mimi nikianzisha Kikwete shujaa anataka kujiuzulu subirini, utawashauri watu wasubiri hadi lini kwa akili yako.
Mkuu mimi sina rafiki wala adui (wala I don't judge people kwa walichoandika jana wala juzi, bali naangalia post kutokana na contents..) Jamaa amesema kuna tetesi zipo Dodoma kuhusu ushujaa wa huyu mama (sasa anaomba subira ili afatilie ukweli wake)..

Sasa kama wewe umesikia tetesi kwamba JK anataka kujiuzulu (from reliable source) na ukileta hapa siwezi nikakupinga (ukizingatia sikulipi wala silazimishwi kusoma au kuamini unachoandika) vile vile kumbuka kama JK anataka kujiuzulu sio kwamba atajiuzulu..., na kama hatajiuzulu sio kwamba hakutaka kujiuzulu.., hivyo basi mkuu kwani zimepita dakika ngapi mimi ninachofanya ni kutoa a benefit of a doubt hata masaa machache ndio tarudi na kuuliza ilikuwaje (na kama habari ikigeuka kuwa bogus, that's life sio kila tunachodhani ni habari kinakuwa habari.., ila kuogopa kwetu kukosea isije ikawa sababu ya kutokutoa habari..

Alafu nakumbuka kuna mtu alishakuja hapa na thread Tick Tock....; na akiomba subira ya masaa 24; sidhani kama na yeye alipata same treatment anayopata huyu muhusika (au the past inatufanya tuwe blind wa kusoma contents and instead tunaona mtu anayeandika)
 
Kama alikuwa hajajiandaa kulikuwa na ulazima gani wa kuanzisha thread? kama si ushamba ni nini, na wewe unayemtetea nafikiri humjui Pasco au kwa vile umejiunga juzi siku ya wajinga.
Again kutokumjua au kumjua Pasco kunahusika vipi na anachoandika.., hata kama mtu huwa anaandika news za ajabu does it mean kwamba kila anachoandika ni uozo..., na hivi ujinga wa mtu ni siku aliyojiunga anachoandika au ni muda gani tunamjua...

I qoute aliyoandika jamaa

Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya mbunge huyu, naomba nikiache kwanza kama tetesi, na nikisha thibitisha, nitarejea kuwapatia ushujaa huo wa Mhe. Esta Bulaya!.

Amesikia kitu ambacho mbunge huyu amefanya..., sasa kwanini tusingoje kujua ni nini amesikia.., au ujinga wangu, kutokumjua Pasco, au aliyofanya Pasco huko nyuma kunapelekea yeye kuwa kiziwi na kutokusikia tetesi ?

Its about time tuangalia contents, na sio mtu au legacy ya mtu
 
Sawa, lakini kuna thread nyingi tu za majina hayo Pasco angechangia kule, kama kila mbunge wa CCM anayejiorozesha au anyenuia kujiorozesha anaanzishiwa thread yake basi tutakuwa na thread nyingi sana especially hizi za hearsay.

kaka huyu jamaa si unamfahamu alivyo ....achana nae...
 
Again kutokumjua au kumjua Pasco kunahusika vipi na anachoandika.., hata kama mtu huwa anaandika news za ajabu does it mean kwamba kila anachoandika ni uozo..., na hivi ujinga wa mtu ni siku aliyojiunga anachoandika au ni muda gani tunamjua...

I qoute aliyoandika jamaa

Amesikia kitu ambacho mbunge huyu amefanya..., sasa kwanini tusingoje kujua ni nini amesikia.., au ujinga wangu, kutokumjua Pasco, au aliyofanya Pasco huko nyuma kunapelekea yeye kuwa kiziwi na kutokusikia tetesi ?

Its about time tuangalia contents, na sio mtu au legacy ya mtu
In short wewe humjui Pasco au unaendelea ujinga wake tunaoujua. Period.
 
Back
Top Bottom