Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!

Wanabodi,

Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio la ushajaa mkubwa katika medani za siasa.

Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya mbunge huyu, naomba nikiache kwanza kama tetesi, na nikisha thibitisha, nitarejea kuwapatia ushujaa huo wa Mhe. Esta Bulaya!.

Kwa kusaidia tuu, ni kuwa mbunge huyu, amefanya kitendo fulani cha kishujaa kwa kuweka mbele maslahi ya taifa ambapo amesimama kuhesabiwa miongini mwa wabunge wachache wa CCM wenye uchungu wa ukweli na umasikini wa nchi hii, kinyume cha wengi wa wabunge wa CCM ambao wameingia bungeni kwa drive ya njaa zao kutafuta maslahi binafsi badala ya maslahi ya taifa, hivyo wanachosimamia mule bungeni, ni matumbo yao tuu!.

Natafuta uthibitishyogo!.

Wasalaam.

Pasco.

Dodoma!.

Kabla ya huo ushujaa, Mhe. Ester Bulaya aliripotiwa hivi humu jf

[h=2]"Re: Godfrey Zambi na Ester Bulaya bungeni waitabiria CCM yao kuanguka mwaka 2015"[/h]
Tunasubiri uthibitisho!!!! Hatujakuelewa
 
Mkuu sio unajisikia kuleta u-shuzi sorry i meant uzi unaleta kuna wakati unajisikia kuja mba lakini unaangalia mazingira unazuia u-shuzi. Ni vema kukikontrol ki-jambio next time uje na mada zilizokuwa tayari plz
 
In short wewe humjui Pasco au unaendelea ujinga wake tunaoujua. Period.
kwahio hapa mmefungua hii thread ili kumtukana mjinga au kumwambia mjinga kwamba ni mjinga...

Kweli mjinga hajijui kwamba ni mjinga..., na ambae hajui kwamba hajui ni bora kuliko yule anaejitambua

Well to put it bluntly....

"I know Nothing... "Socrates"

"I am the wisest man alive, for I know one thing and that is I know nothing"
 
Bora ungesubiri kuliko kuharakisha kutoa ujinga ambao siwezi kuita taarifa wala ujumbe kwani haiweleki nini? Leo ni jumapili kwa hiyo watu wako na familia zao usiwaaribie weekend zao kwa mambo ya kizushi
 
Tunasubiri uthibitisho!!!! Hatujakuelewa

Nivigumu sana kumwelewa mtu alieleta mada akiwa katoka kuota ndoto za kutisha moja kwa moja akaanza kuleta mada. Wengi wetu humu jf ndio tulivyo hawa wakina pasco ndio image yetu mtake msitake
 
We Pasco na wewe akili zako kama magamba tu kama umekosa chakuandika si bora ukae kimya au kama hiyo tetesi ilikuwa inakukereketa sana ungeenda kumwambia mkeo.
 
tuache kupeana habari ambazo hazina misingi! si ungesubiri ndio utujuze tuache u fb jamani! this is area of great thinker!
 
Umenisikitisha kwa kuanzisha "thread" bila kuwa na chochote cha kuhabarisha. Umepatwa na nini? Nakushauri ukamwone daktari mapema Kabla "maumivu" uliyonayo hayajazidi
 
Wabongo kwa umbea! siwawezi
Yaani pasco unataka uwe wa kwanza kutuletea habari!
Ndo maana usalama wa taifa hawana kazi kubwa bongo maana wambea wengi!
 
Papaa pasco wa magamba wewe ulistahili uwe mkwe wa lowasa,but najua kakuahidi ukuu wa mkoa au wilaya akibeba nchi. Nikisoma post zako hapa siamini kama ni yule pasco aliyekuwa akiendesha kipindi cha kitimoto.
 
Bora ungesubiri kuliko kuharakisha kutoa ujinga ambao siwezi kuita taarifa wala ujumbe kwani haiweleki nini? Leo ni jumapili kwa hiyo watu wako na familia zao usiwaaribie weekend zao kwa mambo ya kizushi

sasa wewe unafikiri asipoandika chochote kwenye payrol ya magamba na lowasa ataenda kusaini nini? Ataonyesha amefanya kazi ipi wakati yeye analipwa kulingana na idadi ya post alizotuma hapa?
 
Wakuu JF
Huyu PASCO asiwapotezee muda,
, hayupo dodoma muongo, nipo naye hapa msasani pub kalewa chakali, hata viatu vyake havioni, nataka nikamnunulie ndala ili tuondoke.

Mytake: apigwe Ban ya maisha

Mkuu umenimaliza mbavu sasa ndala umemnunulia au bado.
 
Yaani wale wamama wa Magomeni ukiishi nao lazima uwe na tabia zao, hivi Pasco ushahama Migomigo maana utakuwa baba msipitwe I guess
 
Back
Top Bottom