Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!

Wanabodi,

Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio la ushajaa mkubwa katika medani za siasa.

Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya mbunge huyu, naomba nikiache kwanza

5"[/h]

So umekuja hapa kitusimulia hearsay?

Nadhani wewe ni mwmanashheria, Kama Mwanasheria inabidi ujue weakness ya hearsay. It wasn't necessary kuleta jamvini hearsay.
 
Wanabodi,

Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio la ushajaa mkubwa katika medani za siasa.

Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya mbunge huyu, naomba nikiache kwanza kama tetesi, na nikisha thibitisha, nitarejea kuwapatia ushujaa huo wa Mhe. Esta Bulaya!.

Kwa kusaidia tuu, ni kuwa mbunge huyu, amefanya kitendo fulani cha kishujaa kwa kuweka mbele maslahi ya taifa ambapo amesimama kuhesabiwa miongini mwa wabunge wachache wa CCM wenye uchungu wa ukweli na umasikini wa nchi hii, kinyume cha wengi wa wabunge wa CCM ambao wameingia bungeni kwa drive ya njaa zao kutafuta maslahi binafsi badala ya maslahi ya taifa, hivyo wanachosimamia mule bungeni, ni matumbo yao tuu!.

Natafuta uthibitisho wa huo ushujaa wa Mhe. Esta Bulaya, ili tuliingize rasmi jina lake miongoni mwa mashujaa wa taifa hili!.

Tuvute subira kidogo!.

Wasalaam.

Pasco.

Dodoma!.

Kabla ya huo ushujaa, Mhe. Ester Bulaya aliripotiwa hivi humu jf

"Re: Godfrey Zambi na Ester Bulaya bungeni waitabiria CCM yao kuanguka mwaka 2015"
you have displayed your ignorance now we are waiting for your stupidity..
 
Pasco,

Kati ya members ambao nilikuwa nawa admire wewe ulikuwa mojawapo.
Sasa kutokana na huu udaku umenifanya niku omit from the list.
 
Watu wenye heshima zenu hampaswi kufanya mambo ya kitoto Kama haya. Sasa ulochosema hapo ni nini?
Ana heshima gani huyu kanjanja njaa?
Bei yake inajulikana..20,000 Tsh tu na ww anaweza kukuandika humu kama shujaa wa nchi hii.
Napenda kumwambia huyo mbunge, atafuta mtu mwingine wa kumnadi ila sio pasco. Watu wenye akili zetu hatuamini ***** wa huyu kanjanja.
 
Pasco,

Kati ya members ambao nilikuwa nawa admire wewe ulikuwa mojawapo.
Nilikuweka katikati ya members kama Mzee Mwanakijiji, Mchambuzi, Pakajimy, Crashwise, Le Mutuz, Mvumbuzi, First Lady, Asha Dii na wengineo wenye kupost habari/mada zenye changamoto.
Sasa kutokana na huu udaku umenifanya niku omit from the list.
Huyo niliyekuwekea RED ni garasa hapo hamna kitu, hilo jamaa ni bishi alishauriki na wala halisikii la mtu, kama unamuadmire nakushauri umchangie nauli ya kurudi kwenda kubeba maboksi, maana wabunge wamemlamba uchakavu wote.
 
Wakuu JF
Huyu PASCO asiwapotezee muda,
, hayupo dodoma muongo, nipo naye hapa msasani pub kalewa chakali, hata viatu vyake havioni, nataka nikamnunulie ndala ili tuondoke.

Mytake: apigwe Ban ya maisha
 
Wewe unamsema mwenzako wakati juzi umekuja na habari za unafik kusema mawaziri wamejiuzulu. Leo kweli unaweza kumwambia mwenzako afanye research? wewe ulifanya research juzi au unakiri kuwa ulikurupuka? Nakumbuka nilikuambia uiweke hiyo mada kwenye udaku, ingekusaidia sana ungefata ushauri wangu, badala yake ukasema "confirmed". Kiko wapi?

Nyani haoni kundule mkuu.
 
Nakumbuka pale dodoma bungeni, alisema Language can never be the barrier in international business market.
Huyo niliyekuwekea RED ni garasa hapo hamna kitu, hilo jamaa ni bishi alishauriki na wala halisikii la mtu, kama unamuadmire nakushauri umchangie nauli ya kurudi kwenda kubeba maboksi, maana wabunge wamemlamba uchakavu wote.
 
Mweee h maskini mimi.... nimefungua haraka nikijua kuna kitu kumbe...
 
Back
Top Bottom