Tutakuhitaji kwa maelezo zaidi,Hivi ajali ya Filikunjombe ilishafanyiwa Uchunguzi? au waliamini ni ajali tu basi, Ile helikopta ililipuliwa angani katika mbuga za wanyama na Nyalandu alionekana akiwa anahaha sana kutuma vikosi vya uokozi etc! mh.
Hawa ndiyo walionufaika na awamu ya nne, vibali vya vitalu kule vilipatikana kutoka kwa waziri, usipime.Huyu nyalandu hana cha kupoteza maana hata ubunge inasemekana aliununua kwa kugawa hela kwenye viberiti RUSHWA RUSHWA bora wabunge wangekua wanawajibishwa
Maana jimboni kwake barabara mbovu
Singida ilongero mpaka ngamu
Na ile ya mtinko hata mgori
Maji ni tatizo
Ye tunasikia anatoa mihela huko dar ila jimbo lake kalisahau
Tangu kachaguliwa hajarudi jimboni kuhamasisha maendeleo kwa wapiga kura wake
upo mama everhurt miss u sanaTutakuhitaji kwa maelezo zaidi,
Jiandae.
02271_000005Samahani mwenye namba za Aunt-Ezekieli naziomba nina shida naye mara moja
unamtakia nini demu wangu we wee?Samahani mwenye namba za Aunt-Ezekieli naziomba nina shida naye mara moja
Menzenu ndo nini dogo, mbona unaandika kama memkwa???Mtawafunga sana wana ccm menzenu
Naona siku hizi kamfungulia ka NGO ka kutangaza jina lake baada ya kutemwa kwenye uwaziriYuko bize na miss tz
Yupo anatumia mafao yake toka awamu ya 1vWanajamvi, toka awamu hii ya tano ianze mchakamchaka na kasi ya speed ya HAPA KAZI TU, sijamtia machoni ndugu yangu na aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mh Lazaro Nyarandu.
Ninakumbuka pia aliwahi kuwa miongoni wa mwakada 40 wa CCM waliojitosa kuingia kwenye kinyang'anyilo cha Urais mwaka 2015.
Mwenye taarifa za huyu ndugu yetu atujuze:
Cc: Lizaboni.
Utasema nini tena hapo?
Kajinyee zako Nguchiro wewe, Unamuhitaji Nani? wewe ni kunguni mdogo sana unaishi kwenye ulimwengu wa njonzi kudhani utanitisha mimi.Tutakuhitaji kwa maelezo zaidi,
Jiandae.
Sijamtuhumu Mtu, Nimeeleza yaliyotokea, 1) Helikopta Ililipuka angani 2) Ilikuwa Ni katika Mbuga za Wanyama 3)Nyalandu somehow akawa wakwanza Kupewa Taarifa 4) Akatuma Vikosi vya Uokozi as if alikuwa Ni IGP, 5) Akawa anatoa Taarifa mara kwa mara Kwenye Mtandao. 6) Siku kadhaa Mzungu mmoja akatunguliwa naye, 7) Baadaye akauwawa "na Majambazi" Kachero wa Wanyamapori. Sasa Mimi Nachosema hapa. Yanapotokea Matukio yenye Utata? Ni Vizuri kufanya Uchunguzi, Nchi zilizoendelea Mtu ukionekana suspicious wakati kuna kifo cha Utata Kimetokea Hata kama wewe ni Baba mtu, Mke, Rafiki, Kaka, Mama, Dada utachunguzwa. Na kama ikiridhisha huna hatia Unaachwa uendelee na Maisha it is not personal! Mimi Nilichekecha mazingira ya tukio Na mapema Nikasema Uchunguzi Ufanyike Kama hujuma na sio ajali tu (Kwa Kifo cha Deo Filikunjombe) Na sio Kuwa Kuna Nachojua zaidi yenu!hizi ni tuhuma kubwa sana! unaushahidi wa kutosha DPP afungue mashtaka?
Nimejaa tele, ww ndio umepotea sana,upo mama everhurt miss u sana
nilienda kulima kidogo jamani...Nimejaa tele, ww ndio umepotea sana,
Mic u too.
Yupo ila amejiuzulu huo ubunge leo hiiWanajanvi,
Japokuwa vikao vya Bunge serikali imedai hawataweza kutuonyesha live kutokana na ufinyu wa bajeti lakini wameamua kutuonyesha kiduchu.
Naomba kuuliza je aliyekuwa Waziri wa Mali Asili na Utalii kwenye awamu ya Kikwete yuko wapi? Bungeni haonekani au naye ana adhabu kama wabunge kama kina Tundu Lisu?
Nawasilisha!