Mbunge: Mwakyembe naye ajiuzulu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,067
144,501
Mbunge mmoja amemtaka waziri wa uchukuzi mh. Mwakyembe nae ajiuzulu na kumpongeza waziri wa zanzibar wa miundombinu kwa kujiuzulu.

Amesema atamshangaa endapo atamuona anasimama bungeni kuwasilisha bajeti ya wizara yake na amesema wazi anamshangaa mpaka sasa ajajiuzulu.

Mbunge huyo ametoa kauli hiyo jioni hii wakati akichangia bajeti ya wizara ya mawasiliano,sayansi na teknolojia.
 
Mbunge mmoja amemtaka waziri wa uchukuzi mh.Mwakyembe nae ajiuzulu na kumpongeza waziri wa zanzibar wa miundombinu kwa kujiuzulu.Amesema atamshangaa endapo atamuona anasimama bungeni kuwasilisha bajeti ya wizara yake na amesema wazi anamshangaa mpaka sasa ajajiuzulu.Mbunge huyo ametoa kauli hiyo jioni hii wakati akichangia bajeti ya wizara ya mawasiliano,sayansi na teknolojia.
Huo mchango kautolea bungeni au Bar? Naona muda wa kikao cha jioni bado, au wamebadili?
 
Kwa mtazamo wangu, nadhani mwakyembe astahili kujiuzuru... wale wazanzibari wanautaratibu wao juu ya vyombo vy majini ambalo sio suala la muungano. Ile meli ilikataliwa na sumatra, ikasajiliwa zanzibar.... sasa mwakyembe anahusika kwa lipi?
 
hiyo ndio cuf ilivyowapika viongozi wake imetoa somo namna gani kiongozi anatakiwa awe,
 
Mbunge mmoja amemtaka waziri wa uchukuzi mh.Mwakyembe nae ajiuzulu na kumpongeza waziri wa zanzibar wa miundombinu kwa kujiuzulu.Amesema atamshangaa endapo atamuona anasimama bungeni kuwasilisha bajeti ya wizara yake na amesema wazi anamshangaa mpaka sasa ajajiuzulu.Mbunge huyo ametoa kauli hiyo jioni hii wakati akichangia bajeti ya wizara ya mawasiliano,sayansi na teknolojia.

Bunge la nyumbani kwako??. Musa wa bunge jioni bado. Kwa nini usitaje jina la huyo mbunge. Ndio madhara ya gongo za mchana.
 
Kwanini ajiuzulu? Zanzibar ni NCHI HURU... Unakumbuka ISSUE YA MELI? HAKUTAARIFIWA WALIAMUA WENYEWE

WAZANZIBARI, Yeye aliachwa solemba; Sasa kwa Hii MELI PIA ILISAJILIWA ZANZIBAR Sasa Kwanini aingilie; Si ndio

Hapo wanasema WABARA kila kitu wanaweka PUA ZAO HILO SIO JAMBO LA MUUNGANO; Sasa Kama Sio la

Muungano kwanini Ajiuzulu? MTOA HOJA TAFADHALI FIKIRIA KWANZA...
 
Bunge la nyumbani kwako??. Musa wa bunge jioni bado. Kwa nini usitaje jina la huyo mbunge. Ndio madhara ya gongo za mchana.

Hivi wewe unaishi nchi gani au wewe ndio mnywa gongo na mropokaji.Kwa taarifa yako bunge sasa linaanza saa kumi jioni badala ya saa kumi na moja ili kutoa fusa kwa wabunge waislamu wapate muda wa kufuturu.Na bunge linaishia saa kumi na mbili jioni.
Acha kujiona mjuaji na kama uko nje ya nchi basi uwe mpole na sio kukurupuka.
 
Sioni mantiki ya kuwa eti akijiuzulu wa visiwani ni lazima na wa bara ajiuzulu? Meli hiyo ilikuwa chini ya mamlaka ya serikali ya Zanzibar. Mbunge anakitaka kichwa cha Mwakyembe kwa lipi? Aliyewajibika hatoshi? Zanzibar mna mamlaka kamili ya kwenu (ambayo hamtaki pia yaingiliwe na Tanganyika) mnamtakia nini Mtanganyika huyu.
 
Hivi wewe unaishi nchi gani au wewe ndio mnywa gongo na mropokaji.Kwa taarifa yako bunge sasa linaanza saa kumi jioni badala ya saa kumi na moja ili kutoa fusa kwa wabunge waislamu wapate muda wa kufuturu.Na bunge linaishia saa kumi na mbili jioni.
Acha kujiona mjuaji na kama uko nje ya nchi basi uwe mpole na sio kukurupuka.
Nadhani umekaribia 55yrs ili uchukue NSSF yako.

Sawa Salary Slip.
 
Kwani zanzibar si ni nchi kamili?....kwani mwakyembe anahusika vipi?...........hawa jamaa mi siwaelewi....kwenye mafuta na gas ni wazanzibar pekee lakini kwenye majanga na watanganyia wanawajibika.....huu nio uhuni
 
Mwakyembe ndiye aliyeruhusu usajili wa hiyo 'scrap metal' ilizama baharini?
 
Japokuwa meli hiyo ilisajiliwa zanzibar lakini uendeshaji na uratibu wake ulipaswa kufanywa pia na serikali ya muungano.

Kwa vyovyote vile Mheshimiwa Mwakyembe anahusika kwa sababu zifuatazo:
1/Meli ilikuwa inafanya usafiri kati ya TANZANIA BARA na Zanzibar.

2/Waliokufa ni Wa-TANZANIA BARA,Wanzanzibar na wageni.

3/Siku ya ajali meli ilikuwa inatoka TANZANIA BARA.

4/Meli ilikuwa na ofisi (ya mfukoni) TANZANIA BARA.

5/Meli ilikuwa inatia nanga TANZANIA BARA.

6/Meli ilikuwa inalipa kodi TANZANIA BARA.

7/Bendera ziliamriwa kupepea nusu mlingoti TANZANIA BARA.

8/Bunge la TANZANIA BARA liliamua kusitisha shughuli zake siku ya tukio.
 
On Monday, the Zanzibar minister for Infrastructure and Communications resigned from his post following the Mv Skagit accident close Chumbe islet, some 40km from Zanzibar. It is believed that at least 144 people died in the ferry mishap, given that as of yesterday, 94 bodies had been recovered while 50 are missing.

"Mr Mohammed Habib Mnyaa (Mkanyageni-CUF), told the august House here that because the Zanzibar Minister for Infrastructure and Communication, Mr Mr Hamad Masoud Hamad, has stepped down as a result of the accident, it was only logical that Dr Mwakyembe follows suit."

Now as the great think do you think that it is fair for this to happen since we have seen that the mv was being registered in Zanzibar and not in mainland?
 
Tanganyika haina waziri wa uchukuzi. Huyo ni wa Tanzanaia, Tanganyika haihusiki.
 
Back
Top Bottom