Mbunge Mary Chatanda ataka Katiba ibadilishwe ili vyama vya upinzani visiruhusiwe kufanya mikutano

Bunge bora walitoe live. Sio siri wavunge siku hizi wanakera, yaani kuna vi.la.za bungeni wamejazana, huyu namuweka ligi moja na agnes marwa na yule mzee wa sanamu ya diamond, ile raia ati tujenge uwanja sehemu alipopiga push~up Kufuli. Hehe! Duh, hali ni mbaya, kuongozwa na watu tunaowazidi uwezo wa kufikiri
 
Mbunge Mary Chatanda ametaka katiba ibadilishwe ili vyama vya upinzani visiruhusiwe kufanya mikutano ya hadhara kama ilivyo baadhi ya nchi nyingine ili kuachia serikali kutekeleza ilani yake

Duh yani hapa tu ndio uwa napata shida kumpa kura mtu wa CCM atakama mtu wa upinzani simkubali yani PROF, DKT, ENG, Laywer na wengine wasomi wakiwa CCM tu akili zao uwa zinaganda , ona uyu mama sina uhakika na elimu yake ila nazani alifaulu kama MAROPE au alifeli kama Msemaji wa chama kile cha mafisadi piga F za kutosha
 
Ila anaungwa mkono na watanzania wengi sana
 
Huyo naye ni mbunge!? Bila shaka ni punguani. Angekuwa karibu yangu ningemkata kibao cha nguvu akili ikae sawa.
 
Hawa ndo wanachama watiifu inaowataka ccm wakiamka wenzao wanasepa na masandarusi na viroba vya pesa.
 
Back
Top Bottom