Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

... Angalieni sana polisi! Wasije wakampeleka MABWEPANDE ya Arusha (mistu hifadhi ya magamba kwa ajili ya kazi maalum)
 
We Chris Lukosi mbona mkuda hivyo..sababu zipI unazotaka zaidi ya kudaiwa kuchochea madent..unatamani usikie nini haswa.? Kwamba kaua...ilI mfurahi..maana umeng'ang.'ana sababu sababu...
 
Last edited by a moderator:
Hii nchi jamani inanitapisha!!!
Upuuzi huu uanwashushia sna hadhi CCM!!

Ple lema wenye akili tunakuombe na kukuunga mkono!!
 
Kwenye Laptop Yake Zimekutwa Vidio Za Mipango Ya Kigaid,pamoja Na Siraha Yakivita Na Kofia Za Kininja Mia 2 Alikua Amepanga Kufanya 2kio Na Vijana Baaz Yao Alipanga Nao Mipango Hiyo Alipokua Jela Kisongo Na Ndo Mana Alikua Anapenda Kwenda Jela Kumbe Alikua Anaagenda Yake Ya Kigaid,naomba Polc Mcmwachie Gaid Huyo

Mbebs wa ukweli na wewe unataka? NiPM namba yako nikupe maisha mrembo wa nguvu kama vipi...mwenzio kinyanambo (ngariba dume) nimeuhamisha chumba kimoja sinza.
 
Wanataka hasifanye mkutano wa kumshtaki Makinda kwa wana Arusha,sitaki kuamini kwamba mkuu wa mkoa kakasilika kuzomewa na wanafunzi na kuamua kuitoa kafala amani ya Arusha!
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha Magessa Mulongo amesema kwamba Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema alifanya kile alichokuwa anakitafuta muda mrefu kuchochea wanafunzi wamzomee ili aaibike mbele ya wananchi anaowaongoza.

Mkuu huyo wa mkoa pia amesema kwamba anashangazwa na Lema kujificha na kama asingekuwa na kosa asingejificha.

Mkuu huyo wa mkoa ameongeza kwamba Lema anatakiwa kusaidia polisi kuhusu vurugu zilizotokea na akasema maelezo yake pia yanahitajika kabla ya hatma ya wanafunzi 13 wanaoshikiliwa kujulikana.

Pia Mulongo amekanusha kumtumia ujumbe wa vitisho Mbunge Lema na kusema kwamba hawezi kufanya hivyo.

Katika hali ya kukata tamaa mkuu huyo wa mkoa amesema'''Inatakiwa Lema abadilike jamani''''' Alisema kwa kifupi bila kufafanua.

Source:Mwananchi.

Hapo kwenye blue kafanya nini had abadilike?Lakini pia kama alituma ujumbe huo kwa Lema hawezi kukataa kwani bado umebaki kwenye simu labda polisi wake wafute na kutupa hiyo simu yake.
 
Wote wanamakosa, sema yanatofautiana kiwango!! Mkuu wa mkoa alivurunda mno, hakutakiwa kufanya vile na haya ndo matatizo ya kupewa cheo bila kuangalia uwezo wa mtu. Sijui CV yake ila hatakuwa na mchango mkubwa saaaana katika taifa letu huko nyuma.

Basi huyu ndie alietakiwa kuwa ndani akihojiwa sasa!
 
Kwenye Laptop Yake Zimekutwa Vidio Za Mipango Ya Kigaid,pamoja Na Siraha Yakivita Na Kofia Za Kininja Mia 2 Alikua Amepanga Kufanya 2kio Na Vijana Baaz Yao Alipanga Nao Mipango Hiyo Alipokua Jela Kisongo Na Ndo Mana Alikua Anapenda Kwenda Jela Kumbe Alikua Anaagenda Yake Ya Kigaid,naomba Polc Mcmwachie Gaid Huyo

Pole, yawezekana umelaaniwa, sidhani kama utasaidiwa humu.
 
Nikiangalia historia ya hivi karibunu ya Tanzania hii, Rais Kikwete anataka kutoa uhai wa kijana Lema kwa kumtumia IGP Mwema na vikosi vyake. Kinachtafutwa ni mazingira. Kama hapa Lema hana kosa. Rejea matukio ya Ulimboka, Mwakyembe, Lowassa, Mwangosi, Kibanda, na wengine wengi. Lakini nchi haitakaa salama na familia za watawala hazitakaa salama. Ni suala la muda tu. Jina la Bwana libarikiwe. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Back
Top Bottom