Sasa nyinyi mlitaka kufanya nini eneo la polisi?
Hamna kazi za kufanya asubuhi?
Threads zingine acha zikupite. Si lazima kuchangia dr. Usiniambie na wewe huwa unatumikia buku 7 za lumumba.
Jiheshimu bwn dr.
Sasa nyinyi mlitaka kufanya nini eneo la polisi?
Hamna kazi za kufanya asubuhi?
kwani lema ni gaidi?? wewe vipi?Wamekuta mikanda mingine ya kigaidi?
Nenda Lumumba kaombe updatesTunaomba updates na pia kama unajua sababu zozote za Llema kukamatwa
hawajakuta vigrunedi? Au Ak47? Si kiongozi wa cha demu huyo? Kile chama cha maga idiiii
Kwenye Laptop Yake Zimekutwa Vidio Za Mipango Ya Kigaid,pamoja Na Siraha Yakivita Na Kofia Za Kininja Mia 2 Alikua Amepanga Kufanya 2kio Na Vijana Baaz Yao Alipanga Nao Mipango Hiyo Alipokua Jela Kisongo Na Ndo Mana Alikua Anapenda Kwenda Jela Kumbe Alikua Anaagenda Yake Ya Kigaid,naomba Polc Mcmwachie Gaid Huyo
promo ya mauaji we kweli unatumia masabur kufikili
promo ya mauaji we kweli unatumia masabur kufikili
Ndo namuweka sawa mbebs wa ukweli m23 kama vipi, akikubali tu nimuweke ndaniKamuua nani? Unatandikwa nini!
Mkuu wa mkoa wa Arusha Magessa Mulongo amesema kwamba Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema alifanya kile alichokuwa anakitafuta muda mrefu kuchochea wanafunzi wamzomee ili aaibike mbele ya wananchi anaowaongoza.
Mkuu huyo wa mkoa pia amesema kwamba anashangazwa na Lema kujificha na kama asingekuwa na kosa asingejificha.
Mkuu huyo wa mkoa ameongeza kwamba Lema anatakiwa kusaidia polisi kuhusu vurugu zilizotokea na akasema maelezo yake pia yanahitajika kabla ya hatma ya wanafunzi 13 wanaoshikiliwa kujulikana.
Pia Mulongo amekanusha kumtumia ujumbe wa vitisho Mbunge Lema na kusema kwamba hawezi kufanya hivyo.
Katika hali ya kukata tamaa mkuu huyo wa mkoa amesema'''Inatakiwa Lema abadilike jamani''''' Alisema kwa kifupi bila kufafanua.
Source:Mwananchi.
Wote wanamakosa, sema yanatofautiana kiwango!! Mkuu wa mkoa alivurunda mno, hakutakiwa kufanya vile na haya ndo matatizo ya kupewa cheo bila kuangalia uwezo wa mtu. Sijui CV yake ila hatakuwa na mchango mkubwa saaaana katika taifa letu huko nyuma.
Ebana huyu Lema mbna kila siku ye majanga tu,..hafai kuwa mbunge.