Mbunge kuleta maendeleo katika jimbo lake haiwezekani

Mbunge anaweza kuleta maendeleo ikiwa anajua lengo la yeye kuwa Mbunge

Mfano kujenga shule
Zahanati
Visima vya maji

Hivi vitu vyote vinaweza kufikiwa kwa kutumia Akili mathubuti ya Mbunge maana wananchi wakifanya fundraising hivyo vitu vyote vinaweza kupatikana Easily

Unapopata nafasi ya uongozi wewe weka ule msemo wa leader Eat last .
 
Kazi ya mbunge ni nini ?
Ni kwenda kwa wakubwa kuomba apelekewe maendeleo kwenye jimbo lake I.e maji barabara nk,
Na ni kawaida Duniani kote na hata mbinguni kwamba ukiomba sio lazima upewe!
Unaweza ukapewa au ukanyimwa au ukatakiwa ufanye subira !!
 
Mbunge anaweza kuleta maendeleo ikiwa anajua lengo la yeye kuwa Mbunge

Mfano kujenga shule
Zahanati
Visima vya maji

Hivi vitu vyote vinaweza kufikiwa kwa kutumia Akili mathubuti ya Mbunge maana wananchi wakifanya fundraising hivyo vitu vyote vinaweza kupatikana Easily

Unapopata nafasi ya uongozi wewe weka ule msemo wa leader Eat last .
Leader eat last ??!! 😂😂 nilimsikia Kigwa akisema kwanza ni lazima ajaze tumbo lake kwanza ndio afikirie ya wengine !
Hivyo ndivyo ilivyo bandugu !
 
Kazi ya mbunge sio kuleta maendeleo.
Maendeleo ni nini ?
Ni kutunga sheria na kuishauri serikali kuhusu mambo mbalimbali jimboni na nchini. Serikali ndio inaleta maendeleo.
Ndio maana serikali ikimnyanyapaa mbunge hawezi hata kuchimba shimo la choo. Ataonekana anafanya uchimbaji wa madini ya changarawe bila kibali.

Ni hayo tu.
Again Maendeleo ni nini ? Kama ni mambo ya kujenga barabara na mahospitali kweli mbunge sio kazi yake kufanya kwa his / her own cash lakini anaweza kuchochea hayo yakafanyika
 
Back
Top Bottom