Mbunge aswekwa rumande kwa kushambulia mfanyakazi wa mamlaka ya maji

Huyo mbunge kama anatabia ya kuperuzi hii jamii forum naomba kabla hajahukumiwa aje huku Dar es salaam kumwaga dozi kwa hawa wanaojiita DAWASCO!!Mimi simlaumu kabisa kwa hatua aliyomchukulia huyo jamaa,sababu hawa watu hata kama hujapata maji mwaka mzima bill lazima utaandikiwa tuu,kazi yao wao ni kukadiria,hata hizo mita huwa hawazisomi,alafu kibaya zaidi hata watumiaji wa maji hawajui kuzisoma hizo mita thats y wanaibiwa!!!
BRAVO Mhe.Mbunge!!
 
Dawa ya deni ni kulipa tu na sio kutumia cheo kuleta ubabe. Ni aibu kwa kiongozi kama mbunge kujiunganishia maji kinyemela na halafu kushindwa kulipia bill ya TZS 7,700.00????!!!!. Tulitegemea mbunge angekuwa mstari wa mbele kufuata sheria na kulipia huduma zoote anazopata ili kuwawezesha watoa huduma kama MORUWASA kuweza kutoa huduma nzuri zaidi kwa wapiga kura wake wa Morogoro kusini- mashariki. NI AIBU SANA KWAKO WEWE SAMIR LOTTO, ACHA DEZO.
 
Huyo mbunge kama anatabia ya kuperuzi hii jamii forum naomba kabla hajahukumiwa aje huku Dar es salaam kumwaga dozi kwa hawa wanaojiita DAWASCO!!Mimi simlaumu kabisa kwa hatua aliyomchukulia huyo jamaa,sababu hawa watu hata kama hujapata maji mwaka mzima bill lazima utaandikiwa tuu,kazi yao wao ni kukadiria,hata hizo mita huwa hawazisomi,alafu kibaya zaidi hata watumiaji wa maji hawajui kuzisoma hizo mita thats y wanaibiwa!!!
BRAVO Mhe.Mbunge!!

Kwa hiyo unatuambia na wewe ni mwizi wa maji?
 
Kwa hiyo unataka kunambia habari hii imetolewa na A au tunachukua habari ya huyo A na kutaka kuihalalisha kuwa ndivyo ilivyokuwa!.
Maadam wewe na mimi hatukuwepo hii habari kwetu haina ukweli wa kuzungumza kwamba yule jamaa katumia cheo chake cha Ubunge au rangi yake..

Umedai kuwa matamshi aliyotoa mhusika mkuu ni sawa na "hearsay evidence" kitu ambacho si sahihi kulingana na maana inayokubalika ya "hearsay".

Kwa lugha nyepesi, "hearsay" ni sawa na "second-hand information": sasa nimekuuliza utadai vipi ushahidi wa maneno wa mhusika mwenyewe kuwa ni second-hand information wakati kanukuliwa moja kwa moja na Mwandishi wa Habari?

Suala la ukweli wa maneno aliyotamka mhusika mkuu halihusiani na hii hoja ya maana sahihi ya "hearsay evidence".
 
Huyo mbunge kama anatabia ya kuperuzi hii jamii forum naomba kabla hajahukumiwa aje huku Dar es salaam kumwaga dozi kwa hawa wanaojiita DAWASCO!!Mimi simlaumu kabisa kwa hatua aliyomchukulia huyo jamaa,sababu hawa watu hata kama hujapata maji mwaka mzima bill lazima utaandikiwa tuu,kazi yao wao ni kukadiria,hata hizo mita huwa hawazisomi,alafu kibaya zaidi hata watumiaji wa maji hawajui kuzisoma hizo mita thats y wanaibiwa!!!
BRAVO Mhe.Mbunge!!

Bora wewe umetoa sababu za kumsupport huyo mdosi kuliko Mkandara anayejaribu kuibadili story nzima kuwa ya kidini!!!
 
Hakuna kutetea uchafu, mhindi ni mhindi tu na kama anaiba maji bora hata afungwe. Unashangaa mtumzima (ovyo) anatetea eti ukiwasema wahindi ni ubaguzi, mbona wewe hujaenda india ukagombee ubunge uone kama hata uongozi wa mtaa watakupa?

Mawazo potofu ya kijinga hayafai dunia ya leo. Wapo wahindi wema na wachapa kazi lakini bado ni wahindi tu!! mbona mwingereza , mmarekani akiitwa hivyo hamsemi, lakini ukigusa wahindi (mabasha wa CCM) basi mijitu inakuja juu, pumbafu kabisa.
 
Moruwasa hawana utaratibu wa kubambika bill, wao wako makini hata ukilaza deni mwezi mmoja wanakuja kukata maji na wakikata unalazimika kulipa faini 10,000/= na kila mkaazi wa morogoro anajua hilo.

Kwanza huyo mhindi anastahili adhabu kali, kwa nini wanatuchezea eti kwa sababu CCM wameinunua? Lakini mwisho wenu upo tu, one day.
 
Mkandara hata kama hatupendi kuongelea rangi na dini mengineyo kama hayo, ukweli unabaki palepale kwamba wahindi especially wana dharau sana ngozi nyeusi na ni wanyanyasaji sana. we unajua mahouse girls na ma houseboy wao wanavyopigwa hovyo?
Halafu mi nilidhani yeye kama mbunge alitakiwa awe mstaarabu zaidi, kama kaona huyo mtu kakata maji isivyo, angepoteza nini kama angeenda ofisini kwao akastate case yake ieleweke? ubabbe tu kwa kuwa yeye ni mbunge?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom