Mbunge alipua bomu la machozi

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
180
mbunge wa bunge la korea kusini alipua bomu la machozi bungeni na kuwaliza wabunge wote!
Amefanya hvyo kuonyesha hisia zake za kutokubali nchi yake kuingia mkataba wa kibiashara na Marekani.
 
NImeiona iyo nkachoka naona huo ni uzalendo wa kupindukia.
Si unajua USA huwa anafaidika kwa kwenda mbele wakati wengine mnaliwa
 
Duh! Mie nimeingia haraka kusoma nikijua bomu hilo limelipuliwa ukumbi wa White House pale Dodoma ndani ya NEC, kumbe Korea??????
 
Hizo ndo siasa sasa! Kuna haja ya kulipua la machozi kwenye bunge letu ili wabunge wa-feel wanachopata wananchi wao wakitimuliwa na dola!
 
A very misleading thread. Kwa nini usiwe specific badala ya kuwafanya watu wawe na fikra kwamba ni jambo linalowahusu kumbe ni la huko nje. Hiyo ni tabia ya waandishi uchwara hasa wa magazeti ya udaku.
 
Back
Top Bottom