BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,712
- 6,515
Utalii wakutembelea mbuga za wanyama huenda ukawa haupendwi sana Duniani ukilinganisha na utalii wa Fukwe, utalii wa kutembelea mambo ya kale na hata kutembelea miji, au utalii wa matamasha makubwa Duniani.
Fikiria Misiri kwa Mwaka anapokea watalii Million 15 na Tanzania ni 1.5 Million, na hapo Egypt hakuna tembo wala faru ila sana wabatembelea fukwe na yale ma Pyramidi ya Misiri, na shida ya ncni hii imekomaa na Mbuga za wanyama pekeee yake na ku ignore utalii wa Fukwe, utalii wa mambo ya kale, utalii, michezo na kadhalika.
Nchi zinazo pokea watalii wengi Duniani hazina hiafadhi za wanyama bali zina vivutio vingine tofauti na wanyama.
Ni wakati wa kuweka promo saba kwenye vivitio vingine mfabo Fukwe, kuandaa matamasha kama inawezekana, utalii wa mijini.