SOVIET UNION
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 467
- 1,308
Utalii wa wanyama ni moja ya vivutio vya mwisho kabisa kupendwa na na watalii weng Duniani.
Utalii wa fukwe ni utalii mkubwa sana Dunuani na hapo ndipo Zenji.wanaweza piga bao Bara. Shida Bara tumejikita kwenye utalii wa Tembo na simba tu.
Usha jiuliza kwa nini Moroco au Misiri wanapokea watalii million 10 hadi 15 kwa mwaka il na hawana Tembo? Ilihali Tanzania tunapokea milion 1.5?
Na watu wanadanganyana kwamba.ni hatujajitangaza, huo sio ukweli. Utalii wa fukwe ni utalii mkubwa sana Duniani na nchi kama Moroco hao watalii milion 10 plus ni wanaenda kwenye fukwe za Moroco. Moroco ni moja ya nchi yenye fukwe bora kabisa.
Zanzibar wakiwekeza.vilivyo kwenye zile fukwe zao sisi Bara na tembo wetu hatutawafikia kamwe na Daima.