Mbowe yupo sahihi ,Kosa ni NCCR!!!

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Mtazamo wa Mbowe kupinga hukumu ya Lema ili kuepusha Gharama za uchaguzi mdogo zaidi ya 19bils ni sahihi.Tatizo ni NCCR wanamshinikiza spika
 
Nccr wameandika barua kumutaka Anna Makinda amufukuze Kafulila Bungeni ili uchaguzi urudiwe Kigoma kusini,wakati Chadema wamekataa kurudia uchaguzi wapipinga matumizi mabaya ya fedha hapa tunapata mawazo kuwa Jemus Mbatia Nccr ,ni fisadi wa kisiasa asiyesimama kutetea maslahi ya Taifa.Mbatia anataka kujijenga Kawe na familia yake ili uchaguzi urudiwe.Ndio maana mimi napinginga ushirikiana uliotangazwa kati ya Chadema na Nccr kwa kuwa Nccr ni wakala wa CCM na Mbatia ni Kibaraka.Angalia hata mchakato wa Katiba wamemuweka Dk Mvungi ambaye ndiye mshauli wa Nccr juu ya kumushinikiza na kumushitaki spika ili amufukuze kafulila kwa maslahi binafsi
 
Hiyo ni kweli mkuu, tatizo sasa sijui kama hiyo mahakama ya rufaa kama itatambua hilo la matumizi mabaya ya rasilimali.
 
Huwa nikimwangalia huyu katibu mkuu wa nccr naona kama mcameron hiv? Kalegeza macho muda wote. Au ndo ushwahiba wake na mbatia huo.
 
Hiyo ni moja ya maotokeo ya kutorudia uchaguzi lakini sababu hasa ni kwamba hukumu haikuwa sahihi
 
Mleta mada si mkweli,ametolea ufafanuzi wa kuteuliwa dr mvungi lakin kafyata kuzungumzia uwepo wa Prof Baregu kwenye hiyo hiyo tume,wewe hujui kosa la unafki wa Kafulila linaathari kubwa kwa Taifa kuliko hizo 19 billion? We unajua targe ya Kafulila haikuwa kuvuruga NCCR pekee,jifunzen kufanya tafiti rahisi kabla ya kukurupuka,epuka kufanya analysis ya hisia, we hujui even Chadema ilipeleka majina ya watu wa kuteuliwa kwenye hiyo tume,nenda kajifunze kuandika makala kwa shigongo then ndo je tukufanyie kitchen party ya mijadala ya kisiasa usije tuaibisha mbele ya safari!
 
nimependa sana mawazo ya mwenyekiti wa CHADEMA,ametuonea huruma sisi walipa kodi.Mbatia kuendekeza chaguzi ndogo ni aina ya ufisadi na unyanyasaji kwa sisi walipa kodi.inaniuma sana kuona chaguzi ndogo zinafanyika bila sababu ya msingi."Nashauri tufanye uchaguzi mdogo kwenye jimbo la Wasira kwasababu anasinzia bungeni na kusingizia anaumwa"
 
Back
Top Bottom