Mbowe:Watu wote hao hujapata katibu?

kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
26,152
18,738
Inasikitisha sana kwa chama kinachojinasibu kuwa ni cha kidemokrasia kuendeshwa bila kufuata katiba
Zaidi ya siku 90 zimepita tokea katibu mkuu wa chadema ajiuzulu,chama kimekua kikikaimiwa na naibu katibu mkuu zanzibar,Salum Mwalimu huku kamati kuu ikipata kigugumizi cha kuteua mtu wa kuziba nafasi hiyo.
Kibaya zaidi msajili amekaa kimya kana kwamba yanayotendeka yana baraka zake,huku wanachama ambao wanapelekwa pelekwa tu kama nyumbu hawajui lolote lile zaidi ya kusubiri midundo toka kwa akina kubenea na msigwa ili wacheze.
Mbowe fanya hima ujaze nafasi,mteue tu hata mwalimu,vinginevyo ukitokea mgogoro wa kisheria usisingizie ccm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom