Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,119
Mkuu mbona ni kama umepotea njia? Ni kama naona ulitakiwa kuelekea kule Ken..
Kengeza au?
Mkuu mbona ni kama umepotea njia? Ni kama naona ulitakiwa kuelekea kule Ken..
Dj zeroooo,
Mbowe ana hangaika sana ..kumbe ana utambua mchakato wa katiba!
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA),mh.Mbowe, amesema chama chake kitapinga kufanyika kwa kura ya maoni endapo daftari la mpiga kura halitaboreshwa.
Mh.Mbowe ametoa kauli hiyo wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari katika kikao cha siku mbili cha kamati kuu kilichoanza leo na kinachotarajiwa kumalizika hapo kesho ambapo pia taarifa kamili kuhusu kikao hicho itatolewa.
CHANZO:Channel
Bado hatujapata upinzani wa kweli bongo
Huyu Bwana Mbowe Ni Kichaa kama vichaa wengine, Yeye huwa ni mtu wa kupinga ilhali analolipinga linatimia. Tumeshamchoka sasa.
We dada ndo umeandika nini?Ni kichaa kama mama yako na ninona umeshamchoka mamako mpige risasi sasa...silly
Ni kichaa kama mama yako na ninona umeshamchoka mamako mpige risasi sasa...silly
Mkuu Lizaboni kule kwetu tunawaita tusiwatenge,ndio vichwa vya Mbowe na Dr Slaa mitandaoni haoWe dada ndo umeandika nini?
Mkuu Pendael24 Chadema ni sawa na mbwakoko ukipita lazima abweke lakiniu hangatisijawahi kuona mafanikio yoyote ya maazimio ya chadema dhidi ya ccm,hivyo mikakati watapanga sana lakini mafanikio wasiyatarajie,JAMBO LOLOTE AMBALO HAJAPANGA MWENYEZI MUNGU MWANADAM KUFANIKISHA ASAHAU. Chakufanya wamrudie kwanza muumba wao awape mwongozo na njia ya kupita dhidi ya wale wanaopambana nao. kila la heri chadema.
We dada ndo umeandika nini?
Mkuu Pendael24 Chadema ni sawa na mbwakoko ukipita lazima abweke lakiniu hangati
,,,,,,,,,:hungry:Dj zeroooo,
Kengeza au?