Mbowe: Tutapinga kufanyika kwa kura ya maoni kama daftari la mpiga kura halitaboreshwa

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA),mh.Mbowe, amesema chama chake kitapinga kufanyika kwa kura ya maoni endapo daftari la mpiga kura halitaboreshwa.

Mh.Mbowe ametoa kauli hiyo wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari katika kikao cha siku mbili cha kamati kuu kilichoanza leo na kinachotarajiwa kumalizika hapo kesho ambapo pia taarifa kamili kuhusu kikao hicho itatolewa.

CHANZO:Channel
Bado hatujapata upinzani wa kweli bongo
 
Ni kichaa kama mama yako na ninona umeshamchoka mamako mpige risasi sasa...silly

Mods msiishie kupiga watu ban,ushauri nasaha kwa wenye matatizo ya akili inaweza pia kuwa suluhisho
cc:Cookie,Mhariri,Active,Moderator
 
sijawahi kuona mafanikio yoyote ya maazimio ya chadema dhidi ya ccm,hivyo mikakati watapanga sana lakini mafanikio wasiyatarajie,JAMBO LOLOTE AMBALO HAJAPANGA MWENYEZI MUNGU MWANADAM KUFANIKISHA ASAHAU. Chakufanya wamrudie kwanza muumba wao awape mwongozo na njia ya kupita dhidi ya wale wanaopambana nao. kila la heri chadema.
 
sijawahi kuona mafanikio yoyote ya maazimio ya chadema dhidi ya ccm,hivyo mikakati watapanga sana lakini mafanikio wasiyatarajie,JAMBO LOLOTE AMBALO HAJAPANGA MWENYEZI MUNGU MWANADAM KUFANIKISHA ASAHAU. Chakufanya wamrudie kwanza muumba wao awape mwongozo na njia ya kupita dhidi ya wale wanaopambana nao. kila la heri chadema.
Mkuu Pendael24 Chadema ni sawa na mbwakoko ukipita lazima abweke lakiniu hangati
 
safi sana , tena isiwe kura ya maoni tu , daftari lazima liboreshwe hata kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa , HAYA MAMBO YA KUJIANDIKISHA KWENYE VIKARATASI VYAO VYA MGOLOLO HATUTAKI .
 
Dj zeroooo,
,,,,,,,,,:hungry:
Hauja eleweka hivi hujui kama huyo ni kiongozi aliyaminiwa na akina SLAA (Mtaalamu wa Gongo ) , SAANANE , MAKENE , BAWACHA ,BAVICHA, na pia wakiwemo TUNDU , MNYIKA (Mwanasheria wa mwaka II UDSM) , na MDEE (MREMBO MTUKUTU) .
Ila cha msingi kila mtu aheshimike kwa nafasi aliyo nayo hata Mbowe naye anatakiwa kuheshimiwa licha ya kuwa ni DJ pia ana katibu wake Mkuu ambaye ni mnazi mkuu wa kinywaji alichokibariki GONGO , na kwamba akipata urais ata halarisha biashara ya gongo(kuna uwezekano na Bangi , cocain , mirungi , mihadarati , n.k} . Tuwaache wasitukanwe kwani washauri wao ni hao RED BRIGADE wanaonyweshwa gongo na mtaalamu SLAA kwa ushirikiano na ANT Flani wa A.TOWN ( Wa ithee mathera iko jee , maboya wasituzingue . kama ubabe tunauweza thana kwani tumeishi miji yote yenye fujo newyork city , califonia , Johansberg , n.k na kama hamuamini njoo bathi tudhipige au vipo matheera) :bump:
 
CHADEMA na UKAWA kwa ujumla kuweni makini na huyu bwana Mbowe,ni dhahiri anataka kuwaingiza mkenge kwa mara nyingine tena ili CCM waondoke na ushindi mwingine wa chee.Nawaomba CHADEMA na UKAWA muingie field kupambana na fitina zote za CCM,Watayarisheni Watanzania kuikataa Katiba ya CCM kwa kupita nyumba hadi nyumba kuwahamasisha.Nina wasiwasi kuna baadhi ya viongozi wa UKAWA wameshalambishwa mlungula ili kuwasaidia CCM kupitisha katiba yao mbovu.
 
Back
Top Bottom